Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kufanya uteuzi wa jina la mwanachama anayependekezwa kushika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Uteuzi huo umefanywa na Kamati ya Uongozi Taifa ya...
8 Reactions
33 Replies
705 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, ameeleza kuwa chama chake kinastahili kuwepo Ikulu kuongoza nchi kutokana na kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na wananchi...
1 Reactions
3 Replies
116 Views
Kama Serikali itafuata ushauri wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), itakuwa ahueni kwa wafanyakazi wanaokatwa mishahara kulipa deni la mkopo wa elimu ya juu. CAG pia ameshauri...
11 Reactions
148 Replies
23K Views
Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura...
5 Reactions
8 Replies
172 Views
WAKILI PETER KIBATALA Wakili Peter Kibatala: Utakasirika nikikuita kaka yangu? Kingai: Ni sahihi, sababu nimekuzidi umri. Wakili Peter Kibatala: Bila shaka hutakasirika nikitetea wateja wangu...
5 Reactions
7 Replies
266 Views
Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la...
7 Reactions
18 Replies
624 Views
Wote ni madikiteita,
1 Reactions
3 Replies
58 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema usaliti unaangamiza taifa zaidi, akisema baadhi ya Watanzania waliowahi kuaminiwa katika nafasi za umma...
7 Reactions
3 Replies
201 Views
  • Featured
Saa 3 kamili tayari watu wameshadika Mahakamani Kaa tayari kwa updates ======== Leo September 16, 2026 Last time tuliishia sehemu ya 428 Sehemu ya 429 Mahakama imeanza. Imepigwa high...
36 Reactions
297 Replies
9K Views
Taarifa mpya zinaeleza kwamba hayuko kwenye kituo chochote cha Polisi, Ndugu zake na madaktari wenzake hawajamuona popote Sasa ameanza kutafutwa Tunatoa wito kwa wananchi kutoa Taarifa kwa...
21 Reactions
126 Replies
2K Views
Mbona Waziri ambaye ni mkwe na mke wake ambaye ni naibu waziri hawapewi pole na salamu za rambirambi? Nimtakie pole waziri kwa kufiwa na baba mkwe wake na nimtakie pole mke wa waziri naibu waziri...
3 Reactions
9 Replies
316 Views
Hili tukio limetokea katika Kijiji cha Lamadi-Busega- Simiyu, sasa hao polisi wanaopiga RAIA hivi hadharani watashindwa KUUA sirini?MTU mmoja hana silaha unampigaje hivyo mbele za watu Pia soma...
5 Reactions
37 Replies
643 Views
Sababu hizi. 1. Upinzani wa sasa sio wa vyama bali ni wananchi 2. Hakuna ajira kwa vijana 3. Rushwa imekomaa sana Tanzania hasa kwa viongozi wa juu 4. Tanganyika na Zanzibar zimerudi na...
2 Reactions
4 Replies
82 Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linafanya ufuatiliaji wa Picha Mjongeo inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwahusisha Askari wa Mkoa wa Simiyu. Aidha, uchunguzi kuhusiana na...
1 Reactions
28 Replies
694 Views
Amejenga msikiti mkubwa kwao bumbuli kama sehemu ya toba kwa mola wake kesho anakwenda kujichumia madhambi kwa kuongea vya uongo ili Lissu anyongwe
3 Reactions
9 Replies
287 Views
Lisu huyu hapa. Amesha kuwa winner au kuwa one of the contestants?
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Maudhui ya Uzi: WanaJF, Katika medani ya kisiasa nchini, mipaka kati ya harakati za kweli na siasa za majitaka imekuwa ikifutika kwa kasi kutokana na nguvu ya mitandao ya kijamii. Hali hii...
11 Reactions
59 Replies
2K Views
Kwa yaliyokutokea liwe Fundisho kwamba, wanapotekwa wengine tupige kelele pamoja. Nitakutafuta nikupe pole ya Ana kwa Ana utakaporudi kuzika Kwa Kukumbusha tu ni Kwamba Mh Temba ni miongoni mwa...
30 Reactions
109 Replies
3K Views
Nimeishia kucheka tu kwa kweli. Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah! AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali. Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili...
58 Reactions
94 Replies
2K Views
Sijawahi kufikiri itakuja siku Sisimizi akawatisha na kuwafyatisha mkia wale wanyama wetu wanaojulikana kama The Big Five, yaani wanyama wakubwa zaidi wapatikanao Nchi kavu. Wanyama hao ni Tembo...
8 Reactions
14 Replies
311 Views
Back
Top Bottom