Manara: Katiba ni ya Watanzania Si ya Kina Heche

Manara: Katiba ni ya Watanzania Si ya Kina Heche

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,102
Reaction score
3,989
Manara ashangaa katiba ya Watanzania kutaka kuandikwa na Kikundi cha chadema Akizungumza kwe ye kipindi cha wasafi One on One

Manara ashangaa katiba ya Watanzania kutaka kuandikwa na Kikundi cha chadema Akizungumza kwe ye kipindi cha wasafi One on One

View attachment 3657180
Huyu alitafute relevance kwa kuongelea watu wenye akili. Abaki huko huko kwenye upumbavu wa simba na yanga na kina mangungu.

Heche ni moto mwingine huyu ataanza kulia akipigwa spana.
 
Hako ka waiti kanaongea pumba sana tangu kapewe chance yakuwa hapo wasafi. Kajamaa kana defende sana Gavoo kama the late speaker Akson. 🚮
 
Mm ningekuwa Zungu MNR ningekaa kimya ili Wandewa msijue kama Shingo yng inateseka kwa Mzigo ilobeba!
 
Back
Top Bottom