Joyce Banda safari imemuwadia. MAMBO KUMI YANAYOSHANGAZA

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,784
2,000
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya “Wamuyaya” (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.

2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.

3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).

4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.

5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.

6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.

7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.

8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).

9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa “Banda”!

10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameonekana kushindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika. hivyo, Joyce Banda safari ya kuondoka ikulu imewadia...

cc Bishop Hiluka
 
Last edited by a moderator:

ndewelo

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
331
225
Hakika mama Banda asilete chokochoko katika nchi ya Malawi historia isije msuta miaka minne si haba baki kuwa mshauri
 
Du Bois ideas

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
428
0
Nimeupenda sana Uchambuzi huu. Inaonekana Zambia na Malawi ni nchi ndugu sana na huko nyuma yawezekana ilikuwa nchi moja. Hata Mungu wao ni mmoja ndo maana anayoyafanya Zambia ndo anayoyafanya Malawi. Bora wale je sisi Tanzania tunafanana historia na nchi gani?

Kwahisani ya Great Thinker Bishop Hiluka
 
Makamee

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
2,020
1,250
Wanatofautiana maana Joyce Banda kuna mambo mawili yanamuhusu hujayataja.
1.Kuunga mkono ushoga
2.Kudai ziwa Nyasa ni lake
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,160
2,000
Nimeupenda sana Uchambuzi huu. Inaonekana Zambia na Malawi ni nchi ndugu sana na huko nyuma yawezekana ilikuwa nchi moja. Hata Mungu wao ni mmoja ndo maana anayoyafanya Zambia ndo anayoyafanya Malawi. Bora wale je sisi Tanzania tunafanana historia na nchi gani?

Nchi pacha AFRIKA na kwingineko duniani. Mara nyingi hutajwa pamoja na zina mambo mengi yanayofanana.

1. ZAMBIA NA MALAWI.

2. RWANDA NA BURUNDI.

3. TANZANIA NA KENYA.

4. GHANA NA NIGERIA.

5. TOGO & BENIN.

6. UINGEREZA NA MAREKANI.

7. MAREKANI NA CANADA.

8. HAITI NA JAMAICA.

9. CHINA NA JAPAN.

10. SOTH AFRIKA NA BOTSWANA.

11. LESOTHO NA SWAZILAND.

12. NIGER NA CHAD.

zingine wanaweza kuongeza wadau wengine.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,737
2,000
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya "Wamuyaya" (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.

2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.

3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).

4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.

5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.

6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.

7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.

8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).

9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa "Banda"!

10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameonekana kushindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika. hivyo, Joyce Banda safari ya kuondoka ikulu imewadia...

Kwahisani ya Great Thinker Bishop Hiluka

Mama kesha onja utukufu hataki kuondoka kwenye kiti cha enzi,na hao ndio viongozi waKiafrika si wanaume si wanawake wote ni uroho wa madaraka,huyu mama anataka kuingiza nchi yake ambayo ni kati ya nchi maskini duniani katika matatizo yasiyo ya msingi,anadai mchezo mchafu umetumika kwenye kompyuta na anawashutumu wapinzani wakati yeye ndie yupo madarakani,wakipelekwa The Hague wanabaki kulalamika kuwa Waafrika tunaonewa kumbe ni sisi wenyewe tumekosa busara.Mmoja wa mawaziri wake amejiua na inasemekana wanaogopa akiingia raisi mwingine wataswekwa jela,hata huyo mama anaogopa jela kwa ulaji rushwa na ndiomaana anataka awe raisi wa mezani.Sijui viongozi wa kiafrika watabadilika lini ,wanatumia madaraka yao vibaya mno na hujisahau kuwa wamewekwa na wananchi.
 
Mwananchi

JF-Expert Member
Oct 4, 2012
2,942
2,000
Well researched and what kind of coincidence? Thanks Yerico for good information

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,745
2,000
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya “Wamuyaya” (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.

2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.

3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).

4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.

5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.

6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.

7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.

8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).

9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa “Banda”!

10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameonekana kushindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika. hivyo, Joyce Banda safari ya kuondoka ikulu imewadia...

Kwahisani ya Great Thinker Bishop Hiluka

nilitaka kushangaa kama ww ndie author
 
Last edited by a moderator:

CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,431
2,000
Nchi pacha AFRIKA na kwingineko duniani. Mara nyingi hutajwa pamoja na zina mambo mengi yanayofanana.

1. ZAMBIA NA MALAWI.

2. RWANDA NA BURUNDI.

3. TANZANIA NA KENYA.

4. GHANA NA NIGERIA.

5. TOGO & BENIN.

6. UINGEREZA NA MAREKANI.

7. MAREKANI NA CANADA.

8. HAITI NA JAMAICA.

9. CHINA NA JAPAN.

10. SOTH AFRIKA NA BOTSWANA.

11. LESOTHO NA SWAZILAND.

12. NIGER NA CHAD.

zingine wanaweza kuongeza wadau wengine.

CONGO RD/DR NA CONGO REPUBLIC,
Ethiopia na Djibout na au Eritrea
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386
2,000
Mama kesha onja utukufu hataki kuondoka kwenye kiti cha enzi,na hao ndio viongozi waKiafrika si wanaume si wanawake wote ni uroho wa madaraka,huyu mama anataka kuingiza nchi yake ambayo ni kati ya nchi maskini duniani katika matatizo yasiyo ya msingi,anadai mchezo mchafu umetumika kwenye kompyuta na anawashutumu wapinzani wakati yeye ndie yupo madarakani,wakipelekwa The Hague wanabaki kulalamika kuwa Waafrika tunaonewa kumbe ni sisi wenyewe tumekosa busara.Mmoja wa mawaziri wake amejiua na inasemekana wanaogopa akiingia raisi mwingine wataswekwa jela,hata huyo mama anaogopa jela kwa ulaji rushwa na ndiomaana anataka awe raisi wa mezani.Sijui viongozi wa kiafrika watabadilika lini ,wanatumia madaraka yao vibaya mno na hujisahau kuwa wamewekwa na wananchi.

Ving'ora siyo mchezo.Unaamua tu MPINZANI huyu apewe kosa gani,huyu awekwe kizuizini duh,yaani wanajisahau na kujifanya Miungu ya Nchi walizopewa dhamana kuziongoza.

Na hapo ni waliokuwa watawala,ingekuwa wapinzani makelele kila kona,wapenda madaraka,waleta vita nk.leo yamewakuta wenyewe.Chama tawala kilichokuwa na madaraka.
 
duanzi

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
16,446
0
joyce banda ni mroho wa madaraka kama mbowe,slaa, lipumba na mbatia,,,hawa viongozi wa ukawa ni janga la taifa. Tuwaogope kama UKIMWI
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,369
2,000
nimeipenda. sasa je banda wa malawi na banda wa zambia ni ndugu? au kuna mmoja alioa mara mbili.

hivi mke wa mandelea ni wa wapi?
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,391
2,000
Nchi pacha AFRIKA na kwingineko duniani. Mara nyingi hutajwa pamoja na zina mambo mengi yanayofanana.

1. ZAMBIA NA MALAWI.

2. RWANDA NA BURUNDI.

3. TANZANIA NA KENYA.

4. GHANA NA NIGERIA.

zingine wanaweza kuongeza wadau wengine.

Bora tungefanan na Malawi au Zambia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom