Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,297
- 859,802
Long and short terms trending
Kiwanda cha kupika habari
Ghala la kuzitawanya
Kuna za jumla
Kuna za rejareja
Za kusadikika
Za halisi
Nani ni nani kwenye nini.. !? Jipu lililodhaniwa limevia kumbe lilikuwa linaiva taratibu..
Sasa linatumbuka.. Acha kabisa huo usaha wake utakavyoruka mbali.. Utawapata waliomo na wasiokuwepo
Kama shindano la mtoano.. Nitoe nikutoe.. Mtoe tukutoe🤣..! Haina comeback hii.. Nimwagie povu nikumwagie tope
Ukiona kichuguu tambua kuna mchwa.. Ukiona mchwa jua kuna malikia na walinzi wake.. Malikia tipwatipwa kunya kulala
Nifitini nikufitini.. Nipige kulia nikipige kushoto.. Kama kucheka ni kwa zamu basi hata kulia pia..!
Ni kipindi cha kung'oa magugu na miti isiyozaa.. Ila kama ni zilezile bongo movie basi this time wametupata.. Na huyo director apokee minyota yakwe
Kesho kinang'oka kisiki kingine and very soon Mbuyu!