Siasa Ziepukwe Kuokoa Mabilioni KtK Manunuzi Ya Umma


mwanamichakato

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Messages
702
Likes
408
Points
80
mwanamichakato

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2015
702 408 80
Serikali kuu na taasisi za umma zinatumia sehemu kubwa ya bajeti ya serikali ya JMT,Lakini kumekuwepo na mianya mingi ya wizi,uhujumu uchumi,ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya kisiasa na kiutaalamu hivyo kusababisha hasara kubwa sana sana na kuzidisha umaskini kwa wenye nchi.

Sekta ya manunuzi pamoja na utitiri wa vyombo na mamlaka za udhibiti bado uozo wenye harufu za rushwa,ufisadi,wizi vinafumbiwa macho..GPSA,PPRA,PCCB,Polisi,CAG,NBAA...Tume ya maadili,Katibu Mkuu,PM,etc..

Nani asiejua ya kwamba hakuna manunuzi yeyote yanayofanyika ktk taasisi za Serikari lazima 10% to 25% zitolewe kwa maofisa ktk michakato ya Zabuni?..Finance Officers,User departments,Planning Officers,Procurement officers,Executive officers and suppliers/bidders all are working in team to facilitate theft of public funds,entities funds..

Mifumo ya manunuzi kama CQ,NCT,ICT,SS,RT,NS,FC yote inatumika kubariki wizi ktk nchi yetu Tanzania..Lazima hatua kali zichukuliwe kwa kina kukomesha ubadhirifu unaofanywa..ifike wakati hata makampuni yanayoshiriki kufanikisha wizi kwa ku inflate/exaggerate procurement costs zichukuliwe hatua kali sana ikiwemo wakurugenzi kufikishwa ktk vyombo vya sheria vyenye uadirifu wa kutenda haki...
 

Forum statistics

Threads 1,235,475
Members 474,585
Posts 29,223,619