baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,129
- 4,027
Habari Wakuu
Leo katika ufunguzi wa Call Center , pale viwanja vya Biafra , tuliona jamaa mmoja mwenye asili ya kiarabu akipewa cheti cha appreciation kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Superdoll iliyoko Barabara ya Nyerere Kitalu Namba 14, jirani kabisa na Quality Centre,
Wakati tuko tunashuhudia hafla hiyo mjadala ulizuka kuwa huyo jamaa ndiye mmiliki wa viwanda vya sukari vya kagera na Mtibwa , mjadala umeisha bila hitimisho , naamini humu kuna wajuvi wengi hasa walioko maeneo ya kagera sugar na mtibwa sugar ,
Pia , mnaofahamu mtujuze na wafanyakazi wa huko , maana mjadala ulienda mbali na kusema pia , kuna wahindi wengi wasio na elimu wanalipwa pesa nyingi, wakati hawana ujuzi na waliowahi Fanya kazi mtibwa wakadai General Manager wa Kagera Sugar ambaye Ni Mhindi wa Zimbabwe aliwahi kufukuzwa Mtibwa Sugar na kuongeza Kuwa analipwa Tsh 56, 000,000/=
Wenye ukweli wa haya , watusaidie ili tumjue huyu boss na undani wake
In JamiiForums " We dare To Talk Openly"
Karibuni Wadau