Jussa: Viongozi wa nje wanamtambua Maalim Seif kama rais wa Zanzibar

Kazi ipo mwaka huu! Sijui sarakasi hizi zitaishiaje! Naomba heri tu isije ikazuka fujo siku moja na maafa! Damu isimwagike
 
Pamoja na masikitiko yangu kuhusu hali inayoendelea Zanzibar, nadhani kauli ya ndugu Jussa ni ya kisiasa zaidi kuliko uhalisia. Ni viongozi gani, kwa mfano, wanamtambua Maalim Seif kama Rais wa Zanzibar?
 
Aliweka mpira kwapani alafu anadai alishinda mechi! Teteteh
 
Ismail Jussa Mkurugenzi wa mambo ya nje wa chama cha CUF ameyasema haya alipokuwa akiwahutubia mamia ya watanzania waishio nchini canada.
Title yako imekaa vizuri sana, kumbe hata angepata urais angewatumika wa nje badala ya wananchi ndani ya zanzibar. Hii ni sawa na kuoa au kuolewa lakini unakuwa unatamani KIMADA cha nje kinachokulea nje ya ndoa. Shame upon you!
 
Back
Top Bottom