Viongozi wanaotokana na siasa noma kwa ukigeugeu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Anashangaa Meya na Mbunge wa Kinondoni kutokuwepo Biafra wakati ameshindwa kushangaa viongozi hao hao alivyowazuia kuzungumza na umma wao!?

Nani amesahau Meya wa Jiji na Waitara walivyodharauliwa mbele yake tena kwa maneno ya kejeli 'siwezi kulisha mtoto wa jirani"?

Kubwa kuliko, hakuna mapenzi ya kweli dhidi ya watu wa upinzani...wanabaguliwa, wanadharauliwa, wanadhihakiwa kama hawana Haki.

Wacha Ujumbe uendelee kusambaa!
 
kiukweli inasikitisha sana. yaani umoja wetu, mshikamano wetu unaanza kuyumba katika taifa letu pendwa kisa kula yamini na ccm ama vyama vya upinzani. kumbukeni vyama vitapita ila taifa letu halitapita kamwe. viongozi tujifunze kuweka akiba ya maneno.....
 
Back
Top Bottom