Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Tumesikitishwa na Kauli ya mkuu wa kaya ilofanya tushindwe kutekeleza majukum yetu ya kisia kama inavyo sema katiba ya JMT. Wanachi wa mtwara walisubiki kushudia wahitim wa CHASO MTWARA wakipokea vyeti vyao leo 25/6/2016
Badala yake tumezuiliwa kufanya maafali ya chaso mkoa mtwara bila sababu ya msingi.
1 Tulikubali kutekeleza matwakwa yao kuomba kibari tumefanya hivyo ila wametoa majibu ya kisiasa ikiwa jeshi la polisi ilikua litekeleze wajibu wake wa kuhakikisha usalama wetu katika maafali na sio kuzuia
2 Tulipanga kufanya kikao ili tujue jinsi tutakavyo wakabizi vyeti wahitim wanazuia hadi vikao vya ndani.
Sasa tunato wito kwa Raisi JPM na jeshi la polisi wajue siasa ni kazi na wasijalibu kuzima moto kwa petrol
Wasitufanye tutafute njia nyingine ya kufanikisha maafali yetu watuache bavicha na chaso tutekeleze Majukum yetu bila kutubuguzi
Kumbukeni mtwara bado Tunajambo letu msiamshe yalio lala wa msikumbushe tulio yasahau.
Mnapo zuia maafali ya CHASO MKOA mjue mnajenga chuki ya kisiasa na kuongeza maadui na sio jambo jema kutengeneza vijana wanao ichukia selikali.
Ikiwa mimi ni kijana naye jitambua natambua wajibu wangu katika kuhakikisha vijana tuna pewa haki yetu kuzitumia fulsa na tunu za taifa hili pasipo kubaguana . Hakuna mwenye hati miliki ya taifa hili sisi sote ni watanzania tunahaki kikatiba ya kutekeleza majukum yetu ya kiuchumi kijamii na kisiasa.
i. Mliaza UDOM kufukuza wanafuzi zaid ya 7800 na kuwaita vilaza.
ii. Mkazuia maafali ya CHASO Mkoa Dodoma.
iii. Mkazuia mafali chaso Kilimanjalo
Morogolo, mtwara na mikoa mingine.
Chuki mnayo ijenga kwa vijana wa kitazani nikubwa na italigalim taifa badaye leo shangilieni kesho itakua chungu.
Vijana hatuta kubari kuona demokrasia inakanyagwa, katiba inavunjwa tukakaa kimya lazima tulijenge taifa lenye misingi ya haki ha usawa.
Imegolewa na Erasto A Ng'wavi
M/kiti bavicha mkoa mtwara