Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Nimekuwa na waza kuhusu rafiki yangu wa mtandaoni wa muda mrefu Ben saa 8 hivi ni kweli amepotea na leo tnaakata miezi hajapatikana? Wako wapi waliokuwa wanamzungumzia nakutoa matamko kwenye...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Basi jamani tumalize mzozo na tuendelee na mambo mengine.
0 Reactions
Replies
Views
Nilikataa kuwa kamwe matajiri wa Tanzania hawawezi kuishi kishetani ila sasa nimekubali. Shughuli ninazozifanya zimetokea kuniweka karibu au kunifanya niwakaribie matajiri wa kitanzania ila sasa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
LABDA nianze kwa kutoa maelezo kidogo. Luxembourg ni nchi ya nane kwa udogo barani Ulaya. Ina ukubwa wa takribani kilomita za mraba 2,586. Hapa Tanzania, kampuni za uwindaji wanyama zinaweza...
13 Reactions
33 Replies
4K Views
Wanabodi, Huu ni uzi wa swali tuu, "Kwanini Viongozi Wetu Wanaogopa Sana Mabango Hadi Kuwadhibiti Washika Bango Kama Wahalifu?!. Lengo la mabango yote duniani ni kufikisha ujumbe, sasa mabango...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
INADAIWA KUWA: MAREKANI ilikuwa inasumbuka kuhusu mrithi wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kama Rais wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1985, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa za...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Maamuzi yake na watendaji wake wote katika wizara inayosimamia huduma za elimu nchini ndiyo majibu ya kidato cha NNE ya sasa.Hali si nzuri kabisa tofauti na miaka ya nyuma, walimu hawana ari na...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Dodoma ni Mji Mkuu wetu lkn kuwa Mji Mkuu haimaanishi kwamba ni lazima uwe Mji mkubwa kuliko yote Tanzania, tuache Dar ibakie Dar na Dodoma ubakie kuwa Mji mdogo kama ulivyo lkn unaokidhi mahitaji...
3 Reactions
104 Replies
9K Views
Mbunge wa Tarime Vijini Mhe. John Heche Leo Bungeni ameomba Muongozo Kwa kusimamia Kanuni ya 68:7 juu wa wahanga wa tetemeko la Kagera. Akieleza jinsi watu wa wanavyopata madhira kama vile...
13 Reactions
91 Replies
7K Views
  • Redirect
Habari za wakati huu. Awali nimpongeze makonda kwa ujasiri aliouonesha ambao wenzie walishindwa wakiwa kwenye nafasi hiyo ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam. Pili ni masikitiko yangu ya utendaji...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Upumbavu ni kuacha kupambana na papa na nyangumi na kuhangaika kupambana na Dagaa kwa kisingizio kwamba wao ndio wanaomeza watu baharini! Wenye fikra pevu watanielewa!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Upumbavu ni kuacha kupambana na papa na nyangumi na kuhangaika kupambana na Dagaa kwa kisingizio kwamba wao ndio wanaomeza watu baharini! Wenye fikra pevu watanielewa!
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Naam ni wito kwa ndugu Lowassa wakati Umefika sasa aende kwa heshima kumshukuru Mzee Jakaya Kikwete rais mstaafu na mwenyekiti mstaafu wa CCM kwanza kwa kutengua uwaziri mkuu mwaka 2008 na kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Watu wengi wanawaza kuwa yamkini EL angefaa kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Kwa upande wangu naona na ninaamini hivi, Edward Lowassa hafai kabisa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia...
26 Reactions
1K Replies
194K Views
Nimeisikia kutoka magazetini,mwenye taarifa tafadhali!
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Kipigo alichopewa mwanafunzi wa Mbeya Day na video yake kusambaa sana mtandaoni kimeibuka bungeni baada ya mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi au Sugu kuhoji inakakuaje walimu hao...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Wakuu wa shule hasa za secondary wangekua wanapewa semina na shule ambazo zimefanya vizuri kama Feza Boys, Saint Francis ili Kupunguza gap kwa sababu zinawekwa kundi moja na hizi. Waboreshe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
Hakika Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam amethibitisha kuwa uongozi anauweza.Ametembelea mkoa wake Na kubaini madudu mengi yanayofanywa Na baadhi ya watendaji wa serikali.Mh.Makonda amekuwa mstari wa...
0 Reactions
Replies
Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameanza ziara yake ya siku 10 ndani ya jiji la Dar es salaam kwa ajili ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi. Hii thread itakuwa...
8 Reactions
2K Replies
223K Views
Back
Top Bottom