Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kila kukicha ndugu zetu wafugaji na wakulima wanauwana wenyewe na mifugo yao, tatizo hili sasa limekuwa sugu pamoja na mbwembwe zote za rais kumtumbua aliyekuwa mkuu wa mkoa kwa kushindwa kutatua...
0 Reactions
5 Replies
963 Views
Ni wazi kwamba CHADEMA wamepwaya sana kisera, kifikra, hali inayotishia kufutika kwa upinzani nchini. Wakati Sumaye anahamia CHADEMA alisema anaenda kuongeza nguvu ila bado kumepoa na kupwaya...
0 Reactions
12 Replies
905 Views
  • Redirect
Kati ya watu waliotia aibu,, DC was Mvomero kavunja rekodi,, yaani anatuambia raia hata tukifa njaa yeye bado anahitaji kuendelea kupigiwa saluti? Hii ni fedheha kwa aliyemteua!
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
DC wa Uyui aliyejiuzulu ana viwango vya kimataifa. Hivi ndivyo inavyopaswa kuwa kiongozi yeyote wa umma. Siku zote kiongozi hatakiwi kuwa mnafiki kama mla pilipili anaye kula chakula huku...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
BADO NAPENDA KUPIGIWA SALUTI, SIJIUZULU NG'O - MKUU WA WILAYA. Wakati Mkuu wa Wilaya ya Uyui akijiuzulu kwa hiari yake baada ya kueleza kuwa wilaya yake imekumbwa na njaa baada ya ukame wa muda...
3 Reactions
Replies
Views
Hii ni sehemu ya maoni ya Dk.Bana kuhusu matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani kama yalivyochapishwa na gazeti la Mtanzania la siku ya leo tarehe 25/01/2017. Dk. Bana na udhaifu Kwa upande wake...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Ni dhahiri sasa hali si shwari kabisa kwa maRC na maDC walio wengi. mtanziko uliyompata mkuu wa wilaya ya Uyui unawakumba wengi. Duru zinaeleza kwamba wengi wao wanaendelea kukalia viti vyao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutokuwepo hapo katika hizo nchi nafikiri ni heshima kubwa maana majirani zetu wote wapo na wanaendelea vizuri tu na upigaji Chanzo: Corruption Perceptions Index 2016 176. Somalia: 10 175...
22 Reactions
63 Replies
7K Views
  • Redirect
BADO NAPENDA KUPIGIWA SALUTI, SIJIUZULU NG'O - MKUU WA WILAYA. Wakati Mkuu wa Wilaya ya Uyui akijiuzulu kwa hiari yake baada ya kueleza kuwa wilaya yake imekumbwa na njaa baada ya ukame wa muda...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa hisani Comred Malisa Godlisten BADO NAPENDA KUPIGIWA SALUTI, SIJIUZULU NG'O - MKUU WA WILAYA. Wakati Mkuu wa Wilaya ya Uyui akijiuzulu kwa hiari yake baada ya kueleza kuwa wilaya yake...
0 Reactions
Replies
Views
SINTOFAHAMU YAZIDI MRADI WA UMEME KINYEREZI II. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameomba kuliagiza shirika la umeme Tanesco kuangalia upya mkataba wa ujenzi na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nianze Kwa kupongeza vyama vya upinzani nchini Kwa uwepo wao kwani licha tu ya kuwa na tija kisiasa pia vina tija kiuchumi pia kwan uwepo wao nchini n kiashiria cha demokrasia na...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
HATUA ya serikali kuzuia kurusha moja kwa moja mjadala wa vikao vya Bunge kama ilivyokuwa awali, bado inaumiza wananchi Safari hii wananchi wametinga mahakamani na kwamba leo wamefika katika...
8 Reactions
82 Replies
10K Views
Hapa kazi tu, Kwa sasa Maeneo mengi ya Arusha mgao wa ueme umeanza rasimi, Sijajua mikoa mingine ila tutarajie maumivu mengine. Hapa kazi tu
0 Reactions
1 Replies
582 Views
Moja ya vitu vinanishangaza kwenye Utawala huu wa Magufuli, yupo Mbele saana kwamba tunahitaji Wawekezaji wa Ndani na Nje, sasa linapokuja swala la Kuwaambia tena waondoke ndipo nachoka sasa...
12 Reactions
143 Replies
8K Views
Shilingi yetu imeshuka thamani kwa kasi kwasababu za ndani na nje. 1.Sababu za nje ni kupanda kwa thamani ya dola dhidi ya sarafu zote duniani.. 2.Sababu ya ndani kwetu ni ukosefu mkubwa wa dola...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet: Kama kweli anataka kufanikiwa rais Magufuli anatakiwa kujifunza kwa Trump jinsi ya kuendesha nchi . Sio kuingilia majukumu ya mawaziri wakati ukiwa mkuu wa...
10 Reactions
58 Replies
6K Views
Benki ya Exim ya China imekubali kutoa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani Bilioni 7.6 sawa na zaidi ya Shilingi Trilioni 16 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa mradi mkubwa...
3 Reactions
219 Replies
22K Views
Inatia uchungu kuona watu wakishabikia kukanyagwa kwa katiba ambayo watu wameapa kuilinda. Wanasiasa wanawekwa rumande miezi mingi wakinyimwa dhamana kwa mashinikizo ya watawala kinyume na...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Redirect
WENZETU WA JIMBO LA DIMANI WALIPOPIGA KURA HAWAKUHARIBU HATA KURA MOJA. DUU WAKO MAKINI KWELIKWELI
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom