Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Kwa jinsi kampeni zinavyokwenda ni dhahiri kuwa uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na ushindani mkubwa sana kuliko chaguzi za nyuma hasa katika nafasi ya Urais. Hivyo ni muhimu tume ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Mkinichagua 25 October Jumatatu inayofuata Ferry itakuwa ni bure bila nauli. Hiyo ndio kauli ya Lowassa kwa wakazi wa Kigamboni... Vile vile kasema hii itakuwa kwa ferry zote ili lengo kuu la...
44 Reactions
281 Replies
24K Views
Nipo kwenye gari liendalo MSATA mda huu dereva aliweka radio gani sijui iliyokuwa ikipigwa wimbo wa dokii uliokuwa unaitusi UKAWA waziwazi, ndipo abiria walipomwambia dereva chagua mawili zima...
11 Reactions
44 Replies
6K Views
Katika gazeti bora hapa nchini la leo (Mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni umekamilika. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na...
8 Reactions
185 Replies
23K Views
Busara ni jambo la msingi sana lakini pia usimdharau mtu kabla ya kifo chake. Baada ya hako kautangulizi niwasalimu ndugu zangu sisi watanzania...wote tumeshuhudia kauli chafu na za kejeli...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
KUNA msemo kuwa; "Penye wazee haliharibiki neno". Msemo huu unatumiwa sana kama tahadhari kwenye masuala ambayo yanaweza kuhusisha vijana au watu wengi ambao labda hawana umri wa kuweza kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Jf!!! Nimewai kuanzisha uzi hapa, kulaani vikali kuondolewa mabango yote ya mgombea wa Ukawa mh LOWASSA, na Polis kukaa kimpia pamoja na Nec. Ikumbukwe Mh Lossawa amewai kulalamika sana...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Wana Bukoba na zaidi wa manispaa ya Bukoba tumeishampa kwaheri (mpao) Kagasheki. Ni jambo la kushangaza leo hii sisi waendesha pikipiki tunaonekana wa maana ili hali Kagasheki ulisimama bungeni na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama wanachosema akina Bulembo, Nape, Magufuli na wengine ndani ya CCM kuhusiana na ushindi wa lazima kwa CCM basi tusingewaona majukwaani wakifanya kampeni nchi nzima. Kauli wanazotumia akina...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Tinga Tinga - Au Bulldozer/wheel Loader Kwa Experience Yangu Kama Mining Engineer Huwa Linaendeshwa Na Mtu #operator Kwa Jinsi Atakavyo Yeye, Na Sasa Ni Wakati Wa #mabadiliko! Haijalishi Mgonjwa...
0 Reactions
6 Replies
831 Views
Hili halukubaliki. Mbatia kumdhalilisha Lowassa No. No. No. Haiwezekani Mbatia ambaye si mgombea urais, atake mdahalo ufanyike ukimjumuisha yeye na sio Lowassa. Yeye Mbatia ni Nani? Inamaana...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Mgombea mwenza wa urais, kupitia CCM Samia Suluhu Hassan. Mgombea mwenza wa urais, kupitia CCM Samia Suluhu Hassan, amesema chama chake kikishinda katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, serikali ya...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
kama nilivyo ripoti jana na kueleza yale niliyo yaona kwenye mkutano wa mh adidas masaburi pale kimara jimbo la ubungu ila nilisema mimi sitokei ubungo natokea ilala nikati ya vijana 1OO tulio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawashauri viongozi wa UKAWA waweke mikakati maalumu ya kushawishi wapiga kura wa mkoa wa Kigomo waipigie UKAWA kura za ushindi na si kupiga kura za hasira au za kuikomoa UKAWA kwasababu ya mtu...
4 Reactions
137 Replies
10K Views
karibuni katika mjadala wa kistaarabu wa mustakabali wa taifa letu ========================================= ========================================= Habari hii si ya kweli na imekanushwa na...
2 Reactions
125 Replies
13K Views
Ndugu zangu watanzania,naomba nitumie nafasi hii na mimi niseme langu la moyoni.Kwa sasa mimi sio mfuasi wa chama chochote cha kisiasa na siko upande wowote. Mimi ni mmoja wa watanzania mwenye...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari JF Jana katika kfuatilia mikutano ya kampeni niliskia mgombea mmoja na mpiga debe wake wakidai kuwa eti "amekuwa kiongozi serikalini miaka kumi hata barabara hakujenga kwake" nilibaki na...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Hii ni baadhi ya miradi iliyozinduliwa itakayozinduliwa kuelekea uchaguzi -umeme wa kuzalisha kwa gesi. -mradi wa mabasi ya kasi Dar. -uwekaji jiwe la msingi SGR. -daraja la kigamboni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hongereni magufuli, Lowassa, mngwira NA rungwe kutokua na matusi kwenye mikutano yenu Bali team zenu za kampeni ndizo zimekua NA matusi hususani chama kimoja wapo ndicho kinaongoza kwa kuporomosha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom