Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Kipigo alichopewa mwanafunzi wa Mbeya Day na video yake kusambaa sana mtandaoni kimeibuka bungeni baada ya mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi au Sugu kuhoji inakakuaje walimu hao hawajachukuliwa hatua za kisheri, ila Naibu waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni alisema suala hilo bado linafanyiwa upelezi na upelelezi utakapokamilika ndipo litafikishwa kwenye vyombo vya sheria
Pia sugu alizungumzia kuhusu polisi kuwapiga wafuasi wa Chadema na kuwajeruhi vibaya kipindi cha Operesheni UKUTA na kutaka iundwe tume kuchunguza swala la wananchi hao kupigwa na waziri kujibu kuwa polisi walikuwa wanalinda amani