Nimefurahi sana maana nimenunua hili gazeti nimekuta huu utumbo ulioandikwa humu,nikaona ni uzandiki na uzabina zabina na bendera fuata upepo. Fungia gazeti milele
Kubenea alishapoteza credibility kwa jinsi alivyokuwa akimshambulia Lowassa na kumchafua kwa zaidi ya miaka 10 kumbe hata ushahidi hana. Ni mtu wa kupuuzwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.