Kuna kipindi Serikali kupitia Wizara ya Elimu iombe semina kwa Shule zinazofanya Vizuri

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu wa shule hasa za secondary wangekua wanapewa semina na shule ambazo zimefanya vizuri kama Feza Boys, Saint Francis ili Kupunguza gap kwa sababu zinawekwa kundi moja na hizi.


Waboreshe miundombinu kwani hata hizo Tabora Boys waalimu wake wengi wanafundisha Private schools wanafunzi wa Tabora Boys kwa Asilimia kubwa hujisomea wenyewe kwa kufundishana na Twition.


MAJENGO YA SHULE YA FEZA

IMG_20170203_085027.jpg
IMG_20170203_085049.jpg
IMG_20170203_085105.jpg
IMG_20170203_085105.jpg
IMG_20170203_085105.jpg
IMG_20170203_085227.jpg
IMG_20170203_084412.jpg
IMG_20170203_085227.jpg
IMG_20170203_084705.jpg


feza boys.jpeg
IMG_20170203_085027.jpg
IMG_20170203_085049.jpg
IMG_20170203_085105.jpg
IMG_20170203_085227.jpg
IMG_20170203_084412.jpg
IMG_20170203_085049.jpg
IMG_20170203_085027.jpg
IMG_20170203_084705.jpg
IMG_20170203_084412.jpg
 
Hizo semina bila kuboresha maslahi ya walimu na kutatua changa moto zinazowakabili ni kazi bure
Kwa Hali ilivyo Tanzania Mwalimu hata Umrundikie Pesa bado watatega tuu labda maslahi ya Kujengewa nyumba na Kila Afisa Elimu awekewe Target atajua namna ya Kuwabana Ma headmaster. Maslahi si ndo hayo waalimu wa Dar es Salaam wanasafiri bure lakini Leo ndo wametoa shule za mwisho 6.
 
Serikali imeshindwa kabisa kuwekeza kwenye huduma za jamii. Angalia hata hospitali za serikali zilivyodorora kwenye kutoa huduma zake kulinganisha na za binafsi.
 
Back
Top Bottom