ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Serikali ya awamu ya 5 chini ya rais Magufuli huenda imefanikiwa kuzima harakati na shughuli zilizokuwa zinaupaisha upinzani
Kwa sasa kiuhalisia wabunge wa upinzani hawana nafas ya kuwatumikia wananchi yao kutokana na nature ya serikali ya kutaka kupambana na kuminya upinzani!
Kwa hili JPM kafanikiwa, lwani kwa sasa nafasi ya wabunge wa upinzani haionekani kiukweli
Serikali hii ndio yenye mamlaka, wabunge wa upinzani wameshindwa kung'ara kwa kuwa mkulu ameminya kuanzia wabunge na mawaziri wake hadi wabunge wa upinzani!
Kwa sasa wapinzani wameshindwa kujua nini la kufanya ili kuwatumikia wananchi wao kwani kila wafanyalo JPM hulivuruga ili kuwanyima credit
Mfano mbunge wa Kawe ameshindwa kutekeleza wajibu wake akiishia kulalama na serkali kuu
Ni muda sasa wapinzani tuungane na tujikumbushe wajibu wetu dhidi ya serkali!