Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Tumezoeatoka kwa Marais waliopita kuhutubia taifa Lila mwisho Wa mwezi. Marais hawa walikuwa wakitumia nafasi hiyo kueleza au kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na matukio mbalimbali yanakuwa yametokea katika nchi.
Huu ulikuwa utaratibu mzuri na hakika uliondoa ile Tania ya kusimama popote pale na kuropokaropoka juu ya mambo Fulani Fulani ambayo yangehitaji hotuba makini iliyoandaliwa kwa weredi
Sikh hizi naona huu utaratibu umewekwa kapuni, taiga linahutubiwa Saa, wakat na eneo usilolidhani. Kwa nini utaratibu kama ule usirudi? Ili walau tuwe na ufafanuzi mzuri Wa masuala nyeti ya nchi kuliko kuwa na hotuba zinazijibu masuala mazito kwa majibu/ hoja nyepesi?
JK Anajutia Hotuba (za Mkapa) za Mwisho wa Mwezi?
rais jakaya kikwete na hotuba ya kila mwisho wa mwezi - WN.COM advanced search