Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Bavicha walikuwa wanaongoza kumponda Rc kwamba anataja vidagaa badala ya mapapa wa dawa za kulevya.
Leo mara baada ya kutangazwa kwa majina ya watuhumiwa Papa wa dawa za kulevya, kama kawaida yao bavicha wameibuka wanalialia kwamba mwenyekiti wao amedharilishwa kutajwa hadharani!!
Chadema wamesahau kuwa walishawahi kutangaza list ya mafisadi papa waliofilisi nchi hadharani mchana kweupe. Sasa leo wanalialia nini kama siyo unafiki tu??
Hayo ndio mabadiliko waliyotuahidi ya kuficha majina ya wauza madawa ya kulevya yanayoangamiza vijana wa taifa letu??