Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,745
- 50,154
Ninapoona baadhi ya wana CCM wanasitasita kuhusu marekebisho ya Katiba ama kuwepo kwa katiba mpya huwa nawashangaa sana.
Huwa nahisi kuwa kwa sasa CCM inaongozwa na watu ambao si CCM ama siyo makada wanaoifahamu vizuri historia ya nchi yetu na ya chama chao.
Mwaka 1977 CCM iliandika Katiba mpya iliyoakisi kwa uzuri Muungano wa Tanganyika na Zanzibari.
Kwa maana nyingine toka mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibari zilipoungana, Katiba iliyokuwa inatumika siyo ile iliyoandikwa mwaka 1977.
Hawa CCM wa sasa wanaoogopa marekebisho ya Katiba au uandikwaji wa Katiba mpya jee ni wana CCM kweli ama ni mamluki ndani ya hicho?