ONYO KWA CCM

ONYO KWA CCM

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
980
Reaction score
1,794
Nawapa onyo ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machaguo mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu mtake msitake(mods naomba huu Uzi muutunze halafu mtaurejesha tarehe 5/11/3030).
 
Nawapa into ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machagua mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu mtake msitake(mods naomba huu Uzi muutunze halafu mtaurejesha tarehe 5/11/3030).
CCM ilishakufa 29.10.2025
 
Mmeanza ujinga wenu wa kuwajaza kiburi watoto wa watu halafu wakila misumari nyie mnabakia tu kupost picha mitandaoni..

Ili ngome inoge na nyie muwepo..

Hv Lord Denning yupo wapi?
29 Oct wananchi walisimama maandamano baada ya huduma muhimu kutopatikana.

Polisi walikuwa wameshafeli kutuliza ile ghasia, na nikuambie tu ingeendelea askari wangetupa bunduki na kutokomea.

Wananchi wanahofia hali ya uchumi tu.. sio kwamba wanaogopa polisi..

Polisi hawana uwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi...
 
Ku
Nawapa onyo ccm na machawa wao kuwa ikifika 2030 bila katiba mpya muwe na machaguo mawili la kwanza kukimbia nchi na la pili uchaguzi usifanyike, tofauti na hapo mjiandae kuondolewa Kwa nguvu mtake msitake(mods naomba huu Uzi muutunze halafu mtaurejesha tarehe 5/11/3030).
Kubali tu we ni zwazwa
 
Kwakuwa wewe ni mgeni humu JF, basi onyo lako tumelichukua na kuliweka kwenye maonyo mengine meeeeeengi yaliyojaa humu JF!
 
29 Oct wananchi walisimama maandamano baada ya huduma muhimu kutopatikana.

Polisi walikuwa wameshafeli kutuliza ile ghasia, na nikuambie tu ingeendelea askari wangetupa bunduki na kutokomea.

Wananchi wanahofia hali ya uchumi tu.. sio kwamba wanaogopa polisi..

Polisi hawana uwezo wa kuzuia nguvu ya wananchi...
Wacha weee!
Hapo umejiona mjanjaaa?
Kweli wewe ni bavichaaa!

Kwa akili yako na uelewa wako, upo sawa!
 
Back
Top Bottom