Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,831
- 14,385
HAYA sasa mmepata mlichotaka baada ya kukaidi kuonywa muda mrefu sana.
Yuko wapi mtoto wa Heche? Yuko wapi mtoto wa Mnyika? Yuko wapi mtoto wa Lema? Yuko wapi mtoto wa Msigwa? Yuko wapi mtoto wa Maria japo hazai? Wako wapi ndugu za Heche, Mnyika,Lema, Chiba na viongozi wengine? Yuko wapi Brenda? Ambaye akiguswa kidogo tu anajifunika ushungi anakimbilia Kenya!..
Wazazi tulipokuwa tunawaambia muwakanye watoto wenu hii ndiyo ilikuwa maana yake sasa!..Hamkusikia wala kuwakanya watoto wenu na haya sasa ndiyo matokeo yake..
Msishangae hawa wa Mwanza kuna wengine leo wanakwenda Kisutu na huko Arusha na Mbeya batch lao linakuja!..