John Heche: Ofisi ya DPP ifumuliwe, inatumika kubambika Kesi za Ugaidi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,359
Reaction score
18,642
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema serikali inapaswa kuzifumua upya ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) akiitaja taasisi hiyo kuwa inatumika vibaya kubambikizia wananchi na viongozi wa upinzani kesi za uongo za ugaidi.

"Ofisi ya Mwaikitaru na ofisi ya DPP ni ofisi zinazopaswa kufumuliwa na kuundwa upya, na ndio maana tunataka Katiba. Namkumbusha Mwaikitaru, yeye ni wakili na mwanasheria, asome kesi ya Nuremberg trial. 'Henchmen'—watu waliokuwa wanatumiwa na serikali ya Adolf Hitler... kisingizio chao kilikuwa sisi tulikuwa tunapewa maagizo kutoka juu. Haikusikilizwa kwa sababu maagizo kutoka juu sio sheria."

Ni kweli
 
Back
Top Bottom