Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nakumbuka Wakati Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akishirikiana na Waziri Mkuu ambae nae ni Marehemu Mzee wetu Edward Moringe Sokoine, baadhi ya wananchi walilalamika sana...
17 Reactions
142 Replies
11K Views
Takribani mwaka mmoja uliopita kulikuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wapinzani na wakosoaji wa Serikali ya Awamu ya 5 kuhusiana na suala zima la afya, hasa hasa upatikanaji wa madawa kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dereva wa Lissu ambaye ndiye mtu pekee waliyekuwa wote si ya tukio hilo, Simon Bakari naye alizungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo na kudokeza kwamba limevuruga na hana kumbukumbu sahihi...
9 Reactions
275 Replies
21K Views
TAFAKURI YAKINIFU; Bado baadhi yetu tunaugua ugonjwa wa kutokua na uzalendo na nchi na badala yake uzalendo huo tumehamishia kwa taasisi zetu za kisiasa. Wajibu wa kila Mtanzania ni kuhakikisha...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, Leo nimefanya kuzipitia kesi zinazoikabili JamiiForums (kimsingi mimi nazichukulia kama kesi dhidi ya watumiaji wa mtandao wa intaneti kwa ujumla) na kusoma mashtaka yanayowasilishwa na...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kulitaka jeshi la polisi nchini kutokisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema wamuache yeye na CHADEMA...
18 Reactions
30 Replies
3K Views
MTU akiteuliwa kuwa waziri ,naibu waziri,mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya uchukua muda mfupi sana kueleza mambo mengi anayoyajua kuhusu nafasi hizo na wakati mwingine ukimbilia kuwaondoa hata...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida. Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa. Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA! My...
51 Reactions
126 Replies
11K Views
Makamu wa Rais, Mama Samia Hassan Suluhu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu, Dar. Walichoongelea kufata baadae...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi. Katika historia taifa fulani kulikuwa na...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Familia ya Mwanasheria Mkuu wa Chadema , Mnadhimu wa Kambi ya upinzani bungeni na Rais wa TLS ,Mh Tundu Lissu , jana ilimtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa ajiri ya Uponyaji wake baada ya...
27 Reactions
56 Replies
6K Views
Kahama. Siku chache baada ya mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli kuteuliwa kuwa mwenyekiti mwenza wa Taasisi ya Kimataifa ya Uhifadhi na Mazingira, wazee wamempongeza, wakisema ni heshima...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanajamvi Sio viongozi wa dini, viongozi wa Serikali akiwemo hata Mhe Rais, Jaji Mkuu Mstaafu na Mhe Spika, Mawaziri Wakuu Wastaafu, Mawaziri na Wabunge na Wananchi wa Kawaida Kitendo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Maiti za wanaume watatu zimekutwa pembezoni mwa Bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo kati ya hizo moja imekutwa na jiwe kubwa lililofungwa na kamba. Wafanyabiashara wa mihogo wa eneo hilo...
0 Reactions
Replies
Views
Katika mfululizo wa matukio mabaya ya mauaji na mengine hapa Tanzania, uchunguzi wake umekuwa ukitanguliwa na matamko mengi yenye malengo ya kupata kiki kisiasa.Hii tabia inapoteza dira kamili ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mtumishi wa umma nimeajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu. Nimefundisha somo la hisabati kwa bidii kubwa sana hadi kufika mahali wanafunzi 16 kufaulu kwa daraja...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Benki ya CRDB leo Jumatatu imekabidhi msaada wa Sh100 milioni kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa ofisi za walimu kwa shule za msingi na sekondari...
10 Reactions
108 Replies
7K Views
Watanzania tujifunze kitu kupitia nduli Idd Amin Dada Niliwahi kukutana na jamaa mmoja mganda huko Kakurezato Japan, tukiwa pamoja mafunzoni na akanishangaza sana kuhusu yule aliyekuwa adui yetu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
WAKATI Ofi si ya Bunge ikisisitiza kuwa fedha zilizochangwa na wabunge kiasi cha Sh milioni 43 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), tayari...
9 Reactions
116 Replies
12K Views
Back
Top Bottom