Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Licha ya kukiri kosa la kumbaka mtoto wa miaka miwili na miezi mitano na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela, Simon Mwakalinga amerejea uraiani baada ya mahakama kumwachia huru kutokana na Serikali...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia sasa ni marufuku kuweka bei ya tumbaku kwa dola za Marekani kwa sababu imechangia kuwaumiza wakulima wa zao hilo. Amesema wanunuzi wa zao hilo wana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mabadiliko ni kitu kama cha kiasili, sasa inategemeana unazungumzia mabadiliko gani. Na mabadiliko ni kama kitu cha lazima yaani hata ufanyeje uwezi kuyazuia, huwa yenyewe yakija yamekuja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itikadi ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na jamii au kikundi cha watu fulani. Kuna aina kuu mbili za itikadi: Itikadi za kisiasa, na itikadi za kiepistemolojia (ni sehemu ya falsafa ambayo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Chadema Kanda Ya Nyasa tumepokea Kwa Masikitiko Makubwa Taarifa Ya Msiba Wa Mh Diwani Wa Viti Maalum Halmshauri Jiji La Mbeya Ester Mpwiniza aliyefariki Jioni Ya Tarehe 15/9/2017. Tunatoa Pole...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Redirect
Uzi maalumu wa kufichua rushwa wizi na mapato ya serikali na umma Kumekua na upotevu mkubwa sana wa pesa za umma hasa kwenye mifumo mingi ya ki electronic mapato mengi yanaishia mikononi mwa watu...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa wale wanaoamini Mungu, Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, kwa uweza wake hawashangai kwa nini mheshimiwa amekuwa akinusurika katika hila na udhalimu wote unaofanywa gizani hadi hadharani dhidi...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
“Wouldn’t you love to see one of these NFL owners, when somebody disrespects our flag, to say, ‘Get that son of a (expletive) off the field right now. Out. He’s fired. He’s fired!'” Nimeanza na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Serikali iyayafanyia kazi malalamiko ya wamiliki wa shule binafsi nchini kutokana na umuhimu wa shule hizo katika jamii Hayo yamesemwa na naibu waziri wa fedha Ashatu Kijazi kwenye mahafali ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nilikaa jana nikawa nimegeuka kuangalia nilikotoka miaka kaadha iliyopita. nayajua mengi sana. Nayajua meni kiasi sikumbuki hata kidogo kama nliwah kununua sukari kilo 5000. Hilo sikumbuki, najua...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
  • Redirect
Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amefungua shauri kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda akimlalamikia kughushi cheti cha elimu ya kidato cha nne. Ni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwenye hili kwa maoni yangu vyombo vyetu vya Ulinzi &Usalama vimechemka, naongelea dereva wa Tundu Lisu, iweje atakiwe kuhojiwa hlf atoroshwe nje ya nchi na waliomtorosha wapo hapa nchini tena...
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema) Msigwa ameachiwa huru jana usiku kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara. Msigwa ameachiwa baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili Alex...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo kuna msafara umepita Arusha - Moshi road hata sijauelewa.. Nilizea kuona V8 zikiongozana.. Leo nimeona Rav 4J milango mitatu, Suzuki flani old model, Passo mbili na ka gari kanafanana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
  • Redirect
Nilikua natazama video moja hivi ya pale Amri Abeid-Arusha, mara.... Paap! Nikasikia maneno "Wako wapi hao watu wako? Nyie wapumbavu kabisa" Haya maneno kijana wetu mkuu alikua akimuuliza kiranja...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu, Nimekua nikifuatilia sana utendaji wa Musukuma pamoja na comments zake. Nimegundua ni mtu ambaye ana elimu ambayo ni ya chini sana. Kilichnifanya nahisi huyu jamaa ni ana elimu ndogo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanachokifanya polis wetu ni sawa na kufunika shimo la panya kwa kutumia kipande cha nyama Mshauri wa jeshi la polis kwenye kusimamia sheria kwenye mambo yanayohusu demkrasia ni nani? Je lengo la...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Bado kuna watu wengine wanataka kusema?!?!?!wako wapi wengine?!?!?!wapi?!?!?!?shida ni nini nyingine?!?!?! Mara bu,, ba,, hakuna walosimama,,,, so?!?! Wakageukiwa walopanga watu sasa?!?! Nao...
26 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom