Wizara mbili hazina Mawaziri na shughuli zinasonga

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,938
Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida.

Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata mpaka sasa hakuna pengo linaloonekena kujitokeza kwa hao Mawaqziri kutokuwepo
 
haina haja ya kupunguza, tena kwa huyu mzee hata wangepungua kumi, sembuse wawili?
 
Kwa hii serikali ambayo haipendi kufuata sheria hata kuwa na waziri mmoja inawezekana.
 
Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida.

Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata mpaka sasa hakuna pengo linaloonekena kujitokeza kwa hao Mawaqziri kutokuwepo

Mkuu umesahau, ya Nishati na Madini yenyewe haina katibu mkuu wala Waziri na mambo yanaenda safiii...haya ni maajabu ya donor country.
 
Kama lipo pengo watakwambia hawa wasiri? Kumbuka walitaka kuficha kukamatwa kwa ndege. Haiwezekani Wizara nyeti isiwe na Waziri kwa miezi minne sasa halafu utendaji usiathirike.

Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida.

Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata mpaka sasa hakuna pengo linaloonekena kujitokeza kwa hao Mawaqziri kutokuwepo
 
Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida.

Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata mpaka sasa hakuna pengo linaloonekena kujitokeza kwa hao Mawaqziri kutokuwepo

Unashangaa? Unajua kazi ya waziri katika wizara? Ni msimamizi wa ilani ya Chama Tawala. Accounting officer wa wizara ni permanent secretary
 
Kulikuwa hakuna mawaziri mwezi mmoja baada ya uchaguzi lakini Serikali ilikuwa salama tu
 
Unashangaa? Unajua kazi ya waziri katika wizara? Ni msimamizi wa ilani ya Chama Tawala. Accounting officer wa wizara ni permanent secretary

Baada ya maelezo yako ulikuwa unataka kusemaje kulingana na Hoja ya mtoa mada?
 
Tumeshaambiwa mawaziri ni wapumbavu,akiwateua hao wawili tutakuwa tunaongeza idadi ya wapumbavu,bora wabaki wapumbavu wachache waliopo
 
Wakuu, ni muda sasa Wizara Mbili zimekuwa zikiendesha shughuli zake bila kuwepo kwa Mawaziri na Mambo yamekuwa yakienda kama kawaida.

Je Kuna haja ya kupunguza Baraza la mawaziri kwa kuwa hata mpaka sasa hakuna pengo linaloonekena kujitokeza kwa hao Mawaqziri kutokuwepo
Manaibu wapo, maktibu wapo, wakuu wa idara wapo! Tuondoe mawaziri na manaibu wao, na bado kazi zitasonga.
 
Back
Top Bottom