Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Watanzania wenzangu mimi nina wasiwasi kuwa hela hazikusanywi! Nina mashaka kuwa mfumo unaotumika sasa ni mbovu kuliko hata ule uliokumbatia watumishi hewa na wapiga dili. Kwa maana haiwezekani...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Naipongeza sana Serikali kutoa mishahara kwa wakati lakini pia nasikitika sana kuona Serikali inashindwa kutoa salary slip za watumishi wa umma kwa wakati husika watumishi wa umma wanashindwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kupigiwa Saluti na Polisi huku amevaa kofia kichwani na mavazi yasiyo rasmi kupigiwa Saluti ni ishara kuwa Jeshi la Polisi limedharaulika sana. Ikumbukwe...
35 Reactions
129 Replies
16K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mlongo ametangaza kuwa, Lazima majimbo ya Ilemela na Nyamagana yarudi CCM wawe wameshinda au hawakushinda, alikuwa akizungumza na polisi watakaosimamia Uchaguzi siku...
13 Reactions
101 Replies
18K Views
Naandika haya nikiwa kama mtu wa kati. Inasikitisha sana kuona watu tunakosa uzalendo na kuendekeza uchama, sio CCM, CHADEMA, CUF wala act. Serikali na vyama pinzani sana ni maadui lengo la...
0 Reactions
4 Replies
720 Views
Serikali mkoani Morogoro imemtaka mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mvomero, Salvatory Richard aliyeshinda nafasi ya Uenyekiti wa Wazazi wa CCM wilayani humo kuchagua utumishi wa umma ama siasa...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
  • Redirect
Raisi Magufuli amekuwa akisifiwa sehemu nyingi duniani kuwa mstari wa mbele kubana matumizi ya serikali yasiyo ya lazima, na hata kufuta safari nyingi za nje. Sasa kitu kisichoeleweka na wengi ni...
0 Reactions
Replies
Views
Raila Odinga Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya ameondolewa Ulinzi ambao alikuwa anapewa na Serikali kama Waziri Mkuu, kwetu Raisi wetu anaitwa Dikteta wkt Lowasa na Sumaye wanalindwa na kulipwa na...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
  • Redirect
Najaribu tu kufikiria kinadharia zaidi hasa kuanzia pale ambapo nimeshuhudia Rais wetu wa sasa JPM amekua akivaa sare za jeshi kila kunapokua na shughuli maalum inayoandaliwa kwa ajili ya jeshi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani hii sasa sifa hivi dereva wa Lissu bado anashida ya msongo tu, basi anauchungu hata zaidi ya mke wa Lissu. Ama kuna sanaa inachezwa kwanini asirudi aje asimulie vyombo vya ulinzi kusaidia...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Anna Makakala amewasili wilayani Ngara na kuagiza kambi za wakimbizi za muda zifungwe kwa wanaotoka Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Amesema...
1 Reactions
Replies
Views
Unaweza kusema kuwa wanachama wa CCM waliozoea utamaduni wa zamani wa uchaguzi, leo wanaanza “kuisoma namba” wakati vikao vya juu vitakapoanza kukutana kuchuja wagombea wa ngazi ya wilaya...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Spika Ndugai amefunguka hayo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha East Africa Breakfast cha East Africa Radio na kusema kwamba Kubenea alikuwa ameitwa na Kamati ya Maadili lakini...
4 Reactions
77 Replies
11K Views
  • Redirect
Kwenye Bunge la 2013/2014 huyu jamaa si ndio aliyeongoza kwa kuchangia hoja bungeni?? Sasa hivi kawa mpole kama Tibaijuka!! Sio siri amepatwa na allerge ya kutoa hoja sababu ya watu wasiojulikana...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kaka Joshua Nassari tunaamini ni kweli kuwa ushahidi unao na hata bila ya huo ushahidi, wengi wetu tumeshagundua Abracadabra ambayo ilichezwa na ambavyo haikufanikiwa kwa asilimia 100. Ila Ndugu...
0 Reactions
Replies
Views
UN report into the death of its former secretary general Dag Hammarskjöld in a 1961 plane crash in central Africa has found that there is a “significant amount of evidence” that his flight was...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Kutokana na unyeti wa kesi hii,nashauri Chadema imuongezee ulinzi Meya huyo,na pia waandike barua polisi kuitaka pia ihakikishe yuko salama Kila mtu anajua suala hili limesumbua taifa,na muhusika...
3 Reactions
Replies
Views
Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma. Kwanini? 1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Redirect
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
kuna watu wasiojulikana wanapinga sana uchunguzi huru wa vyombo vya kimataifa tujiulize wanamaslahi gan hapo?jamani ktk hili uchunguzi huru kutoka vyombo vya kimataifa visivyoegemea poipote...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom