Peter Msigwa: Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa.
Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA!

My take:
Muda wa kuwabembeleza Jeshi la Polisi umepita, kwa sasa nilazima wajifunze kusikia yote, wanayoyapenda na yale wasiyoyapenda.

Inazidi kuthibitika kwamba sasa nchi yetu inageuzwa kuwa dola la kipolisi(police state) demokrasia yetu inazidi kuuwawa kwa nguvu kubwa ya vyombo ya dola, leo kukosoa serikali ni uhaini, kumkosoa rais eti ni usaliti, kila kitu serikalini eti kinatakiwa kufanyika kwa siri bila kuhojiwa?!!!

Sisi wengine tumechagua kuwa upande wa demokrasia, upande wa kupigania taifa huru na uhuru wa mawazo, kuhoji na kuhojiwa.

Mh Peter Msigwa hongera na hauko peke yako,tunajua hatari zilizoko mbele yetu kwa watala hawa wa sasa lakini tutapambana mpaka tone la mwisho la damu zetu.

Tanzania haiwezi kugeuzwa kuwa mali ya mtu binafsi na kikundi chake.
Tutashinda na tumesha washinda.
 
Atajirekebisha tuu hatutaki wapinzani wasiojielewa
Inazidi kuthibitika kwamba sasa nchi yetu inageuzwa kuwa dola la kipolisi(police state) demokrasia yetu inazidi kuuwawa kwa nguvu kubwa ya vyombo ya dola, leo kukosoa serikali ni uhaini, kumkosoa rais eti ni usaliti, kila kitu serikalini eti kinatakiwa kufanyika kwa siri bila kuhojiwa?!!! Sisi wengine tumechagua kuwa upande wa demokrasia, upande wa kupigania taifa huru na uhuru wa mawazo, kuhoji na kuhojiwa.
Kuwa mpinzani sio kigezo cha kutofuata taratibu na kanuni tuliojiwekea kama taifa,hawa watu wanarudisha maendeleo yetu nyuma
mabavu yapi unayosemea ww?
 
Anaandika Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa.
Polisi hawawezi kunipangia nini cha kusema na wala sio majukumu Yao. Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! SITANYAMAZA!
My take: Muda wa kuwabembeleza Jeshi la Polisi umepita, kwa sasa nilazima wajifunze kusikia yote, wanayoyapenda na yale wasiyoyapenda.
Inazidi kuthibitika kwamba sasa nchi yetu inageuzwa kuwa dola la kipolisi(police state) demokrasia yetu inazidi kuuwawa kwa nguvu kubwa ya vyombo ya dola, leo kukosoa serikali ni uhaini, kumkosoa rais eti ni usaliti, kila kitu serikalini eti kinatakiwa kufanyika kwa siri bila kuhojiwa?!!! Sisi wengine tumechagua kuwa upande wa demokrasia, upande wa kupigania taifa huru na uhuru wa mawazo, kuhoji na kuhojiwa.
Mh Peter Msigwa hongera na hauko peke yako,tunajua hatari zilizoko mbele yetu kwa watala hawa wa sasa lakini tutapambana mpaka tone la mwisho la damu zetu.
Tanzania haiwezi kugeuzwa kuwa mali ya mtu binafsi na kikundi chake.
Tutashinda na tumesha washinda.
Wewe uko nyuma ya keyboard tu.
 
Back
Top Bottom