Makamu wa Rais, Bi. Samia Suluhu akutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bi Bella Bird

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,806
Makamu wa Rais, Mama Samia Hassan Suluhu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu, Dar.

Walichoongelea kufata baadae...

Samia.jpg
 
Safi sana.

JMP anahakikisha Mamabo yanasimamiwa ipasavyo.. Majaliwa anafautilia kuhakikisha kila jambo limakaa kwenye msitari.. Mama Samia anakikisha Mataifa mengine yako bega na benga na sisi..Hapa kazi tu..Tukutane 2020...Hakuna ngonjera ni hoja mbashara tu.
 
Yule mwingine lugha ni tatizo,angekuwa yeye ungeona watu wengi wamejaa kwa ajili ya kumtafasilia,taifa linaingia gharama kutafuta watafasiri
Hasara au fursa ya ajira kwa Watanzania? Kwani wanaajiriwa nje ya Tanzania? Rais kutumia Kiswahili kumeongenza ajira hata kama ni ya mtu mmoja
 
Ukiwa na fikra kwamba Kiingereza ndio usomi basi tutajidanganya maana duniani Kiingereza kinazungumzwa na nchi zisizozidi tano kama lugha nchi nyingi ni moja ya lugha tu sio rasmi.

Wachina wanatumia lugha yao hata Wagerumani ama Wafaransa ila kwa kiki tu Kiingereza ndio kinalazimishwa na watawala hao wazamani
 
Back
Top Bottom