Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Get Well Soon The Great Lissu. There is blood on your land Thieves and murderes, yeah Prrrap-a-dup, da-pa-dup-u-dey Verse 1: Blood aflow from mountains Right down to the sea From Capuchin to...
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Ukombozi wa Pili kote Zanzibar na Bara, baada ya kusalitiwa kwa Mapinduzi ya 1964 na Uhuru wa Tanganyika wa 1961 ndio malengo ya mapambano yetu. 1. Kurejesha Zanzibar iliyotawaliwa kijanja na...
0 Reactions
5 Replies
912 Views
Haya ni maswali yanayotakiwa kujibiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge. Kwamba watu wasiojulikana waliwezaje kupenya mpaka ndani ya Viwanja vya Bunge wakimfuatilia Mhe. Tundu Lissu na dreva...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
  • Redirect
Tumekuwa tukikerwa sana na Rais wetu anavyoshindwa kutumia lugha ya staha lakini leo mimi sikufurahi kabisa na nimemdharau Rais wetu. Kauli hii ya "kuwashwa washwa" haikustahili kutolewa...
11 Reactions
Replies
Views
Moja kati ya sababu za mzee nyerere kufuta demokrasia ya vyama vingi ilikuwa ni kuharakisha maendeleo ya nchi Nchi ikawa inaenda kwa amri moja na kudumisha fikra za mwenyekiti wa chama...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Sijafahamu lakini nadhani kutakuwa na jambo. Kiuhalisia hakuna waziri anayesikika kwa sasa mpaka unaweza jiuliza waziri wa mambo ya ndani ni nani? unaweza jiuliza maswali hayo kwa wizara mbali...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Redirect
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema amemtembelea mh tundu lissu leo hospital ya Nairobi
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Polisi popote duniani huanza upelezi siku hiyohiyo ya tukio baada ya kufika eneo la tukio na kama ndio hivyo ni nani aliwaongoza kufanya haya Ni nani alitoa maelezo ya awali kuhusu tukio kama ni...
12 Reactions
Replies
Views
Ninasikiliza na kuangalia EATV sasa hivi na Mhe. Tundu Lisu kasema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata. Jamani Viongozi kama Hawa wanatupeleka wapi. Sisi tunaosoma shule za kata kweli...
10 Reactions
574 Replies
57K Views
  • Redirect
Wana JF, Tunajua kuwa mara baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi kumekuwa na dhana tofauti na hata baadhi ya watu kutuhumu wengine. Kwa kuwa hapa ni pahala pa GT, tunaweza kusukuma fikra na...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Chadema Bwana Tumaini Makeni amesema,Katibu Mkuu wa Chama Dkt. Vincent Mashinji, akiambatana na wasaidizi wake kutoka Makao Makuu ya Chama, mchana huu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
#ButWhatDoIKnow 1. Nyumba ya Tundu Lissu pale area D ipo pembeni, karibu sana na nyumba ya Naibu Spika wa bunge.., Je, hawa watu waliweza vipi kufunguliwa geti kuingia na kutoka ASAP baada ya...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa kweli binafsi nashindwa kujua tunakoelekea....
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa deni la Tsh 424 trilioni inayoidai Migodi ya Bulyanhulu Gold Mine (BGML) na Pangea Minerals (PML) inayoendeshwa na Acacia limekokotolewa na wataalamu...
9 Reactions
118 Replies
10K Views
Anaandika Mbunge Zitto Kabwe. #HuuSiUtanzania Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mgumu zaidi kwenye maisha yangu ya kisiasa. Nimetumia muda mwingi nikitafakari na kumfikiria sana mwanasiasa mwenzangu...
32 Reactions
121 Replies
15K Views
  • Redirect
*AS WATU WAOVU WATAMBUE KUMUONDOA TUNDU LISU MMOJA KUTAZALISHAKOFU_SHOO: LISSU WENGINE MAELFU.* Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri nchini (KKKT), Askofu Dk Fredrick Shoo amewataka watu waovu...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwanini polisi hawakumuoji dereva wa Lissu siku ya tukio? Polisi walianzaje uchunguzi bila ya kujua jinsi tukio lilivyoanza tokea mwanzo mpaka mwisho? Na mtu pekee wa kuelezea alikua ni dereva...
18 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa ufupi Mvutano ndani ya CUF umeingia bungeni na kusababisha pande zinazovutana kila moja kuchagua uongozi wake. Wabunge wa CUF wameonekana kuvurugana bungeni kutokana na mgogoro unaoendelea...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom