Mnaokesha kumsema vibaya Rais mkumbuke hamtokula matunda yake

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,343
2,000
Wewe kijana na mzee unayekaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tanzania ukumbuke pia mdomo wako unaosema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.

Katika historia taifa fulani kulikuwa na njaa kali sana ila mfalme akamwambia nabii atabiri juu ya mwisho wa njaa katika taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejeli nabii basi yule nabii akasema utaona ila hutokula.

Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye foleni mpaka akafa.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
14,733
2,000
Tanzania ndo imefika hapa???!!! JF ndo imekuwa hivi???!!!

katika hili tu au hata mengine yote?

ya kushangaa humu ni mengi sana mkuu!!! shangaa kila kitu kama uko fair, sio unapotishwa hautapata baraka ndo unashtuka
 
salthanks

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
3,286
2,000
Wewe kijana na mzee unae kaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tz ukumbuke pia mdomo wako unao sema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.
Ktk histor taifa fulan kulikuwa na njaa kali sana ila mfalime akamwambia nabii atabiri juu yamwisho wa njaa ktk taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejel nabii basi yule na bii akasema utaona ila huto kula.
Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye folen mpaka akafa.
Hahahaa hadisi njoo utam kolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio taifa la israel hili

msi copy bible kwa vitu mfu

acha siasa ifanyike, dini ina mahali pake
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
24,410
2,000
Wewe kijana na mzee unae kaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tz ukumbuke pia mdomo wako unao sema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.
Ktk histor taifa fulan kulikuwa na njaa kali sana ila mfalime akamwambia nabii atabiri juu yamwisho wa njaa ktk taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejel nabii basi yule na bii akasema utaona ila huto kula.
Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye folen mpaka akafa.

Mungu hadhihakiwi, shauri yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
accused

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
2,506
2,000
Anaambiwa ukwli..anajiskiaje kuongoza taifa LA watu wenye manung'uniko? au anachekelea anavoshangiliwa kila anapotokea? qcheni upuuzi..Mara paap! bendera nusu mlingoti..maombolezo ya kitaifa! ntakunywa balimi kreti zima
we balimi kreti??? mimi whiskey zote zitakazokuepo Serena siku hiyo
 
Tabby

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
10,653
2,000
Wewe kijana na mzee unae kaa kumsema vibaya Rais wa jamuhuri ya Tz ukumbuke pia mdomo wako unao sema mabaya unajenga laana yakutokula mema ya nchi.
Ktk histor taifa fulan kulikuwa na njaa kali sana ila mfalime akamwambia nabii atabiri juu yamwisho wa njaa ktk taifa. Jambo la ajabu pakatokea mtu akamkejel nabii basi yule na bii akasema utaona ila huto kula.
Kweli muda ukafika chakula kikawepo ila ajabu yule bwana akakanyagwa kwenye folen mpaka akafa.

Laana ikupate wewe unayeshangilia mauti ya Watanzania.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,643
2,000
Anaambiwa ukwli..anajiskiaje kuongoza taifa LA watu wenye manung'uniko? au anachekelea anavoshangiliwa kila anapotokea? qcheni upuuzi..Mara paap! bendera nusu mlingoti..maombolezo ya kitaifa! ntakunywa balimi kreti zima
Hii tunaiita "sala za kimya kimya"
Kawimbo ka taifa mchana mchana na Suluhu inatamalaki.

Nitaweka ringtone ya simu yangu ule wimbo maarufu wa Dr. Remmy uliochezwa mara tatu tu alipotutoka julius.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom