Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Mimi ni mtumishi wa umma nimeajiriwa mwaka 2013 kama mwalimu. Nimefundisha somo la hisabati kwa bidii kubwa sana hadi kufika mahali wanafunzi 16 kufaulu kwa daraja...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Benki ya CRDB leo Jumatatu imekabidhi msaada wa Sh100 milioni kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa ofisi za walimu kwa shule za msingi na sekondari...
10 Reactions
108 Replies
7K Views
Watanzania tujifunze kitu kupitia nduli Idd Amin Dada Niliwahi kukutana na jamaa mmoja mganda huko Kakurezato Japan, tukiwa pamoja mafunzoni na akanishangaza sana kuhusu yule aliyekuwa adui yetu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
WAKATI Ofi si ya Bunge ikisisitiza kuwa fedha zilizochangwa na wabunge kiasi cha Sh milioni 43 kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), tayari...
9 Reactions
116 Replies
12K Views
  • Redirect
Utamaduni wa kinafiki wa Kiafrika ni kwamba hutakiwi kuzungumza wakati wa kula. Video hii ni wakati ule Prof.Kabudi akiwa Kabudi hasa, sio huyu wa sasa ambaye hawezi kisema kitu kuhusu madai ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu nawasalim sana, nimeona sio sahihi mara zote kukosoa bila kutoa direction ya nini tunakitaka ingawa matakwa ya kila mmoja wetu hayawezi kushughulikiwa na yakawa relevance kwa kila mtu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Yaani fedha za emergence zinafanywa watakavyo na nauhakika kama kutumwa fedha zimetumwa leo. Hakuna TISS ya siku mbili siku hizi. Ivi kweli mawasiliano na hospital walishindwaje na TLS wakatuma...
39 Reactions
419 Replies
35K Views
  • Closed
Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea). PICHA: Marehemu Chacha Wangwe... Mzee Mwiguni George aliyefika katika eneo...
0 Reactions
3K Replies
341K Views
Shirika la Ujasusi la Marekani CIA limeziachia wazi nyaraka zilizokuwa za siri (classified) za kiupelelezi katika nchi ya Tanzania miaka ya 1976. Ukizisoma sehemu kubwa ya Nyaraka hizi zinahusu...
9 Reactions
35 Replies
7K Views
  • Redirect
Watumishi wanalia na kusaga meno, Vijana hawana ajira, sekta binafsi inatetereka, kuna makundi yanahitaji milioni 50 yashaunda vikundi. Elimu haieleweki. Wanafunzi 31,000 wamekosa mikopo, wakulima...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wapinza wa Magufuli watakuwa walewale waliomuweka madarakani Na hao hao ndio watakaochangia anguko lake stay tuned Nape: Wananchi wanauliza Bomberdia ndio nini?Sisi wa vijijini tunafaidika nayo...
1 Reactions
Replies
Views
Nianze na hadithi moja aliyopenda kuihadithia baba yangu kabla hajafariki. Kulikuwa na ndege mzuri sana, alivutia ndege wengine na akasifiwa sana kwa uzuri wake na sauti yake nyororo. Ila sifa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Redirect
Katibu Mkuu wa CUF Mhe Maalim Seif akiwa na leo amefika Nairobi Hospital kumjulia hali Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu. Taarifa rasmi kuhusu hali Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu...
3 Reactions
Replies
Views
Kuna uwezekano sana wa haya kutokea pasipokuwepo TAHADHARI ya mapema. √ Watu hawatapenda kuishi katika hali waliyonayo. √ Wa hawatapenda kuona mikono yao ikifanya maamuzi yatakayowatesa. √ Watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
CHACHA WANGWE NA UENYEKITI CHADEMA 2008 Mwaka 2008 ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kulikua na vuguvugu na joto kali la uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa na mmoja wapo wa...
1 Reactions
Replies
Views
Kitendo cha Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga kuzungumzia hali ya usalama nchini na kuweka bayana msimamo wake...
16 Reactions
82 Replies
7K Views
Nimemsikiliza vizuri Bw. Humphley Polepole akizungumzia juu ya uchunguzi huru wa nje juu ya jaribio la mauaji ya Lissu. Polepole amesikika akisema kwamba, CHADEMA wameshazoea kudanganya. Kule...
23 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wakuu, Napenda kumpongeza mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayoifanya katika taifa hili,najua walio wengi si wote watampongeza katika kazi hii ya kuionyosha nchi ambayo ilikuwa imegubikwa...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Back
Top Bottom