Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!
Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.
Sipati picha...
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu...
Kwa huu mtihani kabambe ambao jopo la watendaji wa Tume wakiongozwa na Majaji wenye weredi wa kutosha kushindwa kutafsri kanuni za uchaguzi na hatimaye Tindu lissu kuibuka kidedea kwa kuwapa...
29 September 2020
Arusha, Tanzania
Source: video : Global online TV
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia kwa mkurugenzi wake, Dkt Willson Mahera, leo Septemba 29, wamezungumza na wanahabari...
Vitambulisho vya Taifa vinabeba taarifa zote zilizo katika kadi ya mpiga kura. Kwanini Vitambulisho vya Taifa visitumike kupigia kura Oktoba ili kuwapa fursa mamilioni ya Watanzania waliohamasika...
Mara nyingi tumeandika humu kuhusu mwisho halisi wa CCM jimbo la Kyela tukiwa na vielelezo kamili visivyo na shaka yoyote lakini tulipuuzwa , sasa ni dhahiri mwisho huo umetimia
Pichani ni...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu kumepatikana mwamko na amsha amsha za aina yake!
Kupitia Safu hii napenda nijadili haiba ya wagombea urais aina ya Lissu!
Kwa waliopita ktk system ya kusolve...
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
Lengo kuu lililo kwenye Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu, 2020 ni UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU.
Suala la tafsiri sahihi na ya kiuhalisia ya maendeleo imezungumzwa sana. Hivyo, basi najikita...
Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, Jacob Mtalitinya amewaonya wananchi wanaouza kadi zao za mpigakura kwa siri. Amesema kitendo hicho ni kinyume cha sheria na...
Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya mwaka 2010;
Kifungu cha 24, kifungu kidogo cha 2 kinaeleza kuwa; Mgombea yeyote, awe yeye mwenyewe au wakala wake au chama chake, akifanya...
Kuna shida mahali.
Pamoja na watu kumnanga (very incorrectly and unfairly) Mwalimu Nyerere (RIP mzee wetu) kuhusu sera zake za uchumi, inaonekana dhahiri kuwa alikuwa akifanya vizuri zaidi...
Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo.
Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu.
Hongera sana THE DRAGON LADY
Baada ya Mheshimiwa Pauline Gekul kufunguka juu ya sababu mpya ya kwa nini wabunge wa Chadema wanahama sasa tujadili kitaalamu juu ya shutuma hii nzito.
kama kweli wabunge wote wa Chadema...
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Baghosha...![emoji23][emoji23][emoji23]
Siandiki waraka hapa.
Kwakifupi Leo watu wa Mwanza wameamua kuonesha hisia zao za kumpenda Rais Tundu Lissu usiku huu kwa...
Huyu ndiye Mzee Nyaswi wa Nyamongo. Alihukumiwa miaka 30 jela kwa kupinga unyonyaji na unyanyasaji wa wawekezaji mgodini, enzi za utawala wa Rais Ben Mkapa. Lissu aliingilia kati kumtetea hadi...
Baba Askofu,
Nimesoma nyaraka zako nyingi unazozitoa kwa kwa Watanzania wote. Kimsingi, ujumbe wako ni fikirishi, thabiti na hitimishi. Thamani ya ujumbe wako ni wa-kiungu unaoishi na kubeba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.