Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAGOMBEA Ubunge Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Godbless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamekutana katika mgahawa wa Safari Bistro jijini humo...
10 Reactions
19 Replies
3K Views
Mgombea wa Chadema Liberatus Mwang'ombe aendelea na kampeni zake katika Jimbo la Mbarali Wananchi wengi wajitokeza kumsikiliza.
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA. ===== Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Mgombea urais wa CCM, Magufuli anadai kwenye kampeni kuwa atashinda Uchaguzi. Je, anatumia kigezo gani? Kwenye mikutano yake ya kampeni anawaambia wananchi kuwa wamletee Diwani na Wabunge wa CCM...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari za sasa hivi wanaJF, kama ilivyo kawaida kuwaletea habari mbalimbali ambazo zinafika kwenye meza yangu kuhusu chama chetu CHADEMA huwa siachi kuwaeleza ili kupata ufumbuzi. Morogoro ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashindwa kuamini kuwa mpaka muda huu hakuna hata mmoja wao miongoni waliotajwa aliweza kutoka hadharani kukanusha au kufafanua juu ya tuhuma hizi. Yaani hata ofisi zao zimeshindwa kuwatetea...
19 Reactions
66 Replies
6K Views
Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la...
50 Reactions
175 Replies
21K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Wakati huu ambao bado machungu ya kuondokewa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tau Mzee Mkapa hayajaisha, naona ndani ya CCM wana wakati mgumu sana kwani Mzee mkapa ndiye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na sio mimi pekee tupo wengi sana na tumegawanyika ,kinachotuunganisha ni kuwa tunakaa maeneo tunayokaribiana na tunafahamiana ,tupo wafanyakazi wa mawizara mbali mbali wapo mpaka wanafunzi,na...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Unajua mtoto akishashiba halafu akiwa na hela mkononi anaweza kuichezea hata awapo chooni na ikidumbukia ndio akili zinamkaa sawa. Kesho David Kafulila atakuwa ITV katika kipindi cha Dakika 45...
11 Reactions
64 Replies
8K Views
•Utotoni ukiona mtu anatishia sana kwa maneno tulikuwa tukimpuuza maana mfanyaji HUSEMA mara moja na KUTENDA, maneno mengi ya ICC, kila siku ni vitisho vya kitoto. Kura na maamuzi yanafanywa na...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Tunaelewa mnamuogopa muajiri wenu aliepo ingawa sheria haziwafungi mpaka mnavuka mipaka ya kazi zenu badala ya kuilinda serikali mnakilinda chama cha CCM. Tunajua kura ni siri. Sawa kuweni huko...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Ikiwa kumesalia mwezi mmoja tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu, hali ya CCM kwenye jimbo la Temeke ni dhoofuli hali, Mgombea wake aliyeshindwa kura za maoni na Abbas Mtemvu aitwaye Dorothy Kilave...
13 Reactions
74 Replies
9K Views
Wabunge wa chama changu walikuwa wanakatwa mamilioni ya shilingi ili baadae pesa hizo zingetumika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu. Lakini inasemekana pesa hizo zimeyeyuka kama barafu...
5 Reactions
65 Replies
6K Views
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi...
11 Reactions
129 Replies
9K Views
Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga? Kwanza...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Unga limited Arusha Kazi inaendelea
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ukitaka kuoga matusi humu jamvini waulize wanachadema wakwambie ni nini wabunge na madiwani wao walikifanya baada ya kupewa dhamana mwaka 2015? Kuna hoja ya kusema eti hawakuwa na dola lakini...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Julai 17, 2020, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilichapisha mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni kwenye gazeti la Serikali kupitia gazeti Na.29 Toleo la 101. Mabadiliko hayo ambayo yalitolewa...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu Naomba kuuliza wajuzi huyo aliyesimama na Binamu anaitwa nani ? Na ana cheo gani uko CHADEMA? Anaonekana he is very smart Naomba kuwasilisha
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom