Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu ni Iron Lady, anaikamata Tanga peke yake...

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
IMG_20200921_221520.jpg


Huwezi kuamini kwani ameonesha uwezo wa "man alone" kwa kuishika Tanga vilivyo.
Yaani Magufuli atafika Tanga kusalimia tu.
Hongera sana THE DRAGON LADY
 
Huyo bidada ajiandae, atakuwa shahidi muhimu katika kesi ya kumnyima hela ya matibabu Rais Lissu.
 
Kusalimia
Acha Kupotosha Upepo Ama Hali Siyo Shwari
Ukiona Kofia Imelowa Jasho Ujue Msuli Hautamaniki
 
Wamama waliopita kwenye majimbo yao mpaka sasa ni Ummy Mwalimu,Dr Tulia Ackson.Salma Kikwete.
 
Nilienda tanga mwezi wa pili nilikuta jimbo lishaiva watu wana mkubali sana huyu dada alafu anaonekana sio mtu wa kujikweza na wengi nazani wamemuona akikua so wanamchukulia kama mtoto wao
 
Back
Top Bottom