Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,123
39,335
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
 
Asante sana kwa ukweli huu ambao watanzania wanapaswa kuujua. Tutashuhudia Lissu akinyimwa kugombea na akiwekwa ndani, na hili litazua makubwa nchi hii.

Kwa vyovyote uchaguzi utakuwa mgumu kwa JPM kuliko watu wanavyofikiria. Najua haki haitatendeka na chochote kinaweza kutokea. Tuunge mkono juhudi za kuleta demokrasia na maendeleo ya watu sio vitu.
 
Zipo tetesi za kupita bila kupigwa uraisi wagombea wataunga juhudi ama wakaidi kuenguliwa kisayansi.
 
Asante sana kwa ukweli huu ambao watanzania wanapaswa kuujua. Tutashuhudia Lissu akinyimwa kugombea na akiwekwa ndani, na hili litazua makubwa nchi hii. Kwa vyovyote uchaguzi utakuwa mgumu kwa JPM kuliko watu wanavyofikiria. Najua haki haitatendeka na chochote kinaweza kutokea. Tuunge mkono juhudi za kuleta demokrasia na maendeleo ya watu sio vitu.
Magufuli haamini kinachokwenda kutokea. Siasa siasani.
 
Kiukweli jamaa ana kazi ngumu sana Octoba na hili analijua vizuri sana ndo maana anahaha kutumia vibanio kila sehemu kupitia polisi, tume, sheria mbovu, ukatili ikiwemo matumizi ya bunduki mapanga, na kila aina ya ghasia ametumia pamoja na kukusanya waganga wa kienyeji kila kona ya nchi, mara ooh umoja wa Waganga na wachawi wa Gambosi wanampongeza sijui nani kwa mapumziko huko burigi.

Mbaya zaidi hapendi chalenji ukimzidi hoja anakimbilia panga yaani kama baba ubaya sasa atakiona cha mtema kuni bila kusahau kibano alichowapa ccm huko dodoma asidhani kwamba amewaweza usaliti utakaotamalaki in 2020 General Election hatasahau maishani mwake.

Kinacho ogopesha ni pale Tundi Antipus Mung'hwai Lissu atakapo panda jukwaani aisee akaazime polisi huko rwanda, Burundi na kwingineko na mwaka huu makombeo yatarusha juu Helmet za mamurere mpaka basi, atavurugika na kuvurugwa push up hazitapigika
 
Mwaka huu Kama CCM watampigia kampen mgombea wao wa urais ni matumizi mabaya ya fedha za Chama. Kwasasa fedha za kampen ya urais wazielekeze kujenga na kukarabati vyuo vya uongozi na Taasisi nyingine za CCM.
Wala hudanganyi pesa zoote zitakwenda kulipa posho za polisi wa kukodi kutoka buundi ruanda etc na huu mwaka hakuna push up mlijue mapemaa
 
Kosa moja kubwa alilofanya ni kuminya demokrasia na kukataza watu kumpa challenge kwa muda wote wa uongozi. Angekuwa ameruhusu watu kuampa changamoto ya kukosoa na kukoselewa angekuwa amejifunza mengi na kupata uzoefu. Unajua kwenye mijadala siku zote bila kushiriki inakuwa ngumu kujifunza hasa ikizingatiwa yeye hana kipaji cha kutoa hoja.

Mtu kama Membe na Lissu wanaweza kumshinda vibaya sana kwenye hoja na ndiyo maana Membe anajiamini sana. Na kingine ni kuwa ndani ya CCM amejeruhi wengi kutokana na tabia yake ya ubabe na kutotaka ushauri na challenge. Hayo mahojiano aliyofanya Membe na Mwanahalisi ndiyo yamenifungua akili kwani kama mpaka Dr Bashiru alikuwa anataka kujiuzulu basi inaonyesha Magufuli anawapelekesha sana.

Japo najua mategemeo yake yote ameyaweka kwenye dola kumbeba lakini hata hivyo ana wasiwasi sana kwani anajua wengi ndani ya CCM wanaona hafai.
 
Kosa moja kubwa alilofanya ni kuminya demokrasia na kukataza watu kumpa challenge kwa muda wote wa uongozi. Angekuwa ameruhusu watu kuampa changamoto ya kukosoa na kukoselewa angekuwa amejifunza mengi na kupata uzoefu. Unajua kwenye mijadala siku zote bila kushiriki inakuwa ngumu kujifunza hasa ikizingatiwa yeye hana kipaji cha kutoa hoja. Mtu kama Membe na Lissu wanaweza kumshinda vibaya sana kwenye hoja na ndiyo maana Membe anajiamini sana. Na kingine ni kuwa ndani ya CCM amejeruhi wengi kutokana na tabia yake ya ubabe na kutotaka ushauri na challenge. Hayo mahojiano aliyofanya Membe na Mwanahalisi ndiyo yamenifungua akili kwani kama mpaka Dr Bashiru alikuwa anataka kujiuzulu basi inaonyesha Magufuli anawapelekesha sana. Japo najua mategemeo yake yote ameyaweka kwenye dola kumbeba lakini hata hivyo ana wasiwasi sana kwani anajua wengi ndani ya CCM wanaona hafai.
Magufuli si mtu wa hekma wala subira! Na hii hulka yake akikaa vibaya anaweza itumbukiza nchi kwenye machafuko.

Mtu kama Membe au Lissu si watu wakukubali dhulma kirahisi rahisi!
Magufuli alibebwa sana 2015 mwaka huu itabidi ajibebe!
 
Kule Babati walijaza gesti zote kumhujumu jembe mwaka 2015 lakini Jembe akitumia mbinu za medani alimgaragaza vilivyo EL na UKAWA.
Jiulize ni mbunge au diwani gani asiyependa kutumia jina la JPM ili ashinde mwaka huu
 
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!

Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.

Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.

Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.

Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.

Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!

Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!

Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Shida ni kwamba wao ndo wameshika mpini, ata wasipopata kura hata moja watapora ushindi na watakuongoza tu utake usitake so acheni kujifariji kiujumla uchaguzi huu hauna mvuto kabisa.
 
Shida ni kwamba wao ndo wameshika mpini, ata wasipopata kura hata moja watapora ushindi na watakuongoza tu utake usitake so acheni kujifariji kiujumla uchaguzi huu hauna mvuto kabisa.
Kuna watu wakuwafanyia huo uhuni wakatulia ila si kariba ya watu aina ya Lissu au Membe!!

Kote kulikotokea ukombozi usikiri hakukua na Dola laah aina ya watu walioleta ukombozi ndo ilikua chachu!
 
Back
Top Bottom