Zanzibar 2020 Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,567
9,026
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?

Screenshot_20200926-234729.png
 
Niliona slikuwa na mkutano wa ndani katika kilele cha vijana sijui kitu gani..
 
Tangu zifunguliwe kampeni mgombewa wa urais wa Zanzibar kafanya mikutano 3 kafanya kibanda maiti wakiwemo watu kuletwa kutoka bara kwa meli za bakharesa wengine wafanya kazi na wanafunzi kuvalishwa sare mkutano mengine Pemba ambapo vikosi vyote vya polis na jku wagambo walivishwa sare za chama na kupokea wageni kutoka bara na unguja wakiwemo wasanii tele na mwengine nungwi wakapelekwa watoto wa shule mwisho watu wakapata ajali

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu huyu ndugu atapitia wapi ? Watu walimwachia na msikiti?
 
Mgombea was CCM Zanzibar baada ya kuona hapati watu kwenye mikutano yake amejidai eti anafanya kampeni za nyumba kwa nyumba kumbe anakwepa aibu ya kukosa watu kwenye mikutano yake . Ila Wazanzibar Mungu atawalipa kwa hiki mlichofanya hamna unafiki kabisa nyeupe mnaita nyeupe , nyeusi nyeusi .
 
Back
Top Bottom