Katika medani za siasa hasa katika nchi yetu na nchi mbalimbali za Afrika ushiriki wa Wanawake katika kuwania nafasi za juu za uongozi especially Uraisi umekuwa mdogo sana.
Kwa sasa chama pekee...
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je, ni msamiati wa kisheria au ni mkwara...
RAIS MAGUFULI NI MGOMBEA URAIS KAMA MIMI NA ANASIMAMA SEHEMU YOYOTE ANASALIMIA NA HAZUIWI LAKINI MIMI MNATAKA KUNIZUIA NISISALIMIE WANANCHI WA DIDIA"PROF. LIPUMBA"
KATA YA DIDIA, SHINYANGA...
Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI
Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na...
Kwa kweli msimu huu wa uchaguzi ni kama sherehe katika nchi ,kwa wananchi wengi kujichagulia kiongozi wao kutoka chama kitakachobahatika kupaa kura nyingi kihalali au kimipango.
Sasa inakuwaje...
Karatu imesimama muda huu na habari ni Tundu Lissu
Picha: Mgombea urais wa Jamhuri ya muungano kupitia CHADEMA akipita Karatu kuelekea wilayani Hai ambapo atakuwa na mkutano wa kampeni kesho...
Bila shaka kampeni za mwaka huu ni ngumu zaidi ya zile za 2015 na hata za 1995.
Jana tulishuhudia mgombea uraisi kupitia CCM akiwapigia magoti wananchi akiwaomba kura, Je, hii ni heshima kwao au...
Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta...
Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu...
Kati ya Taasisi zizofanya vizuri kusaidia kutangaza kampeni za Mgombea mkuu wa Upinzani Tundu Antipas Lissu ni Jeshi la Polisi Tanzania.
Baada ya vyombo vya habari kuegemea upande mmoja wa CCM...
Habari za humu wadau, poleni na hongereni na pilika za kampeni.
Juzi kati nimesikitishwa na kitendo cha mgombea kupitia kiti cha ccm ambaye kawaita watu wa kigoma kwamba wana akili sana...
Watanzania wenzangu nichukue nafasi hii kuwaomba na kuwasihi kwamba tarehe ya Uchaguzi tuhimizane kupiga kura, kwa wale ambao tutaweza pia kusafiri eneo moja had lingine pia itakuwa nzuri kwa...
Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu.
Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni...
24 Agosti 2020
Katika mahojiano maalum Mwanzuoni wa masuala ya binadamu, mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDSM mwalimu Dr. Azavery Lwaitama amesema anaufuatilia michakato uchaguzi wa Oktoba...
Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa...
Huyu mtu pamoja na kiburi alichonacho, hivi sasa anaishi kwa hofu na mashaka kwani anajua lolote linaweza kutokea Oktoba 28 na ndio maana mnamuona anahangaika kutoa kauli za kujaribu kurekebisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.