Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Amani iwe nawe Kamishna Sabas!!
Nimekusikia leo umesema wagombea wafanye kampeni sehemu ambazo wamepangiwa ratiba na Tume. Na mtamchukulia hatua mgombea yeyote ambaye anafanya kampeni sehemu ambayo hajapangiwa na Tume ya Uchaguzi!
Sasa swali langu kwako!
Waziri Mkuu wa Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, anafanya kampeni za Urais kwa Ratiba ipi ya Tume ya Uchaguzi??? Ilitolewa lini na wapi???!
Je mmejipanga vipi kuzuia kampeni zake za mgombea Urais ambazo hazijapangiwa na Tume ya Uchaguzi???