Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano.
Wepi mnataka waendelee kuisoma namba?
Je, ni wananchi waliopigwa...
NEC najua hapa JamiiForums mpo na 'mnanikodolea' zenu huku wengine hata mkiwa 'mnaninunia' pengine kwa 'Kuwasema' Kwangu ila nina bahati mbaya moja tu Mimi ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa.
Mkurugenzi wa...
Wajumbe mnasemaje? Mwaka huu, uchaguzi wa mwaka huu ni kweli kabisa dalili zipo wazi kuwa mwaka huu ni kupatwa kwa CCM.
Lissu tayari ameshashinda na kwa ujumla wananchi walio wengi wameshaishinda...
Watu wenye vifijo na bashasha za kila aina wamemsubiri Tundu Lissu tangu asubuhi uwanja wa Mashujaa. Hawataki kunyamazishwa na mtu waimba rais, rais, rais duh Lissu ni ana mvuto...
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.
Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili...
Salaam
Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya
1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .
Kwa...
1. Ningeaziga jeshi la polisi na vyombo vya dola vifanye uchunguzi na kuwasaka wote waliofanya jaribio la mauaji ya Lissu.
2. Ningewaamuru Polisi wasiwapige mabomu wapinzani.
3. Ningefuta sheria...
*KINABO KUUNGURUMA MTAMBANI KESHO*
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini (CHADEMA), KINABO EDWARD, leo ameendelea kuyafikia mamia ya wananchi wa mji wa Mlandizi, Kata ya Mtongani kupitia...
Wana bodi,
Hivi karibuni mgombea wa urais kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu ali amrishwa na tume ya uchaguzi ku hudhuria mkutano unao jumuisha kamati ya maadili...
Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli.
Inastaabisha sana kuwekeza nguvu...
Tumemsikia Mkurugenzi wa NEC akitoa tuhuma dhidi ya mgombea urais wa chadema kwamba anakiuka maadili ya uchaguzi, lakini hatujamsikia akiongelea upande wa pili wa Dkt. Magufuli. Sisi kama wananchi...
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"
USHETU, SHINYANGA.
Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki...
KASI YA DKT MAGUFULI NI YA LOCKHEED
Na Elius Ndabila
Mh Dkt John Magufuli ambaye ni mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi speed yake kuelekea uchaguzi wa October 28 mwaka huu ni sawa ndege...
Kuelekea Maadhimisho ya Nyerere Day tarehe 14.10.2020.
Akiwa kama muasisi na Baba Wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya .
Likiwemo la kusaidia...
Wanabodi Salaam.
Nimejikuta najiuliza swali ghafla mbona simuoni wala kumsikia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi ambae pia ni mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, na zaidi akiwa ni mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.