Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge Edward Kinabo ataendelea na kampeni zake kesho maeneo ya Mtambani Jimbo la Kibaha Vijijini

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
*KINABO KUUNGURUMA MTAMBANI KESHO*

Mgombea Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini (CHADEMA), KINABO EDWARD, leo ameendelea kuyafikia mamia ya wananchi wa mji wa Mlandizi, Kata ya Mtongani kupitia kampeni yake ya Nyumba kwa Nyumba, Mtu kwa Mtu, Kijiwe kwa Kijiwe iliyofanyika kwenye baadhi ya Kata za Mji wa Mlandizi.

Kesho KINABO anatarajiwa na kuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa Mgombea udiwani wa Kata ya Mtambani (CHADEMA), Charles Lusinde, utakaofanyika eneo la Dege la Jeshi kuanzia saa 9:00 alasiri. KINABO anatarajiwa kufichua mambo mazito kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu Jimbo la Kibaha Vijijini.
 
Back
Top Bottom