Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za leo watanzania wenzangu, Natumai mu wazima wa afya njema. Leo nitatoa orodha ya watanzania watakao mpigia kura Magufuli siku ya oktoba 28. Naomba ufuatane na mimi ili upate kuelewa...
15 Reactions
43 Replies
5K Views
Ratiba ya mkutano wa mgombea Uraisi wa CHADEMA asubiliwa mkutanoni viwanja vya Mashujaa hadi saa kumi na mbili na nusu jioni. Inasemekana msafara wake toka Rombo umekuwa ukisimamishwa njiani na...
13 Reactions
47 Replies
6K Views
Muda huu Tundu Lissu yupo Siha mkoani Kilimanjaro moja ya majimbo sugu yanayotawaliwa na CCM mkoani humo. Hili ndilo jimbo la Agrey Mwanri sambamba na Godwin Molel ambaye alikatwa CCM mwaka 2015...
19 Reactions
71 Replies
11K Views
Kinachowaunganisha Watanzania ni matatizo wanayokabiliana ambayo yanaongezeka kila iitwapo leo. CCM ilipokosea nikushindwa kupanga kwa kushirikiana na wananchi namna nzuri yakitumia rasilimili...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
______________________________ Naandika kwa manufaa ya mama yangu, wadogo zangu TZ na kizazi kijacho. Mpaka sasa kwa wale wanaccm na wengineo ambao hamjui ni kwamba TAYARI WABUNGE WAMESHAPANGWA...
50 Reactions
193 Replies
18K Views
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho. Kumbukeni alikuwa kwenye matibabu huko ughaibuni mara alipopata nafuu, kazi yake ilikuwa kuzungumza mambo ya...
26 Reactions
175 Replies
13K Views
Wakati Tume ya Katiba ya judge Warioba ikikusanya maoni ya wadau mbalimbali nchini, Tume ya Uchaguzi iliweka wazi kwamba haipo huru na ikashauri ipewe uhuru wake ili iweze kutekeleza majukumu yake...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Makonda ni mchafu kisiasa hasafishiki. CCM wamemzuia asiseme chochote kuhusu kampeni wakijua kabisa ataharibu mambo na ataibua yaliyolala. Suala la vyeti vyeki lilivyoshughulikiwa na mamlaka...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema, Tundu Lissu anasema leo atakuwa na ratiba ya kampeni mkoani Kilimanjaro na baada ya hapo watakuwa na mapumziko mafupi hadi Oktoba 4 wataendelea tena...
13 Reactions
79 Replies
9K Views
Kabla hujaanza kampeni, nchi ilikuwa imekata tamaa. Watu walikuwa wamekata tamaa wakijiuliza ni lini ukombozi wao utakuja. Nchi ilikuwa kilio kila mahali si wa CCM, CHADEMA, CUF wala ACT. Ugumu...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Leo nimemuona Askofu fulani anasema hawezi kuhubiri mpaka wanakwaya waimbe, pia kikundi cha sifa na kuabudu kiimbe nyimbo za kutosha na nzuri. Pia, muimbishaji yule mwenye uwezo mkubwa afanye...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunajua kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni za nchi ni yapi majukumu na wajibu wa wagombea watakaoshinda? 1. Je Rais ana wajibu gani? 2. Mbunge ana wajibu na majukumu yepi? 3. Na diwani Je? 4...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini...
32 Reactions
62 Replies
8K Views
Leo mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi yuko mkoani Njombe na kwa sasa anaongelea afya na Bima ya Afya. Ameeleza kuwa walianza na vituo vya afya na kinachofata ni bima ya afya, pia...
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Nimekuwa nikimfuatilia Lissu kabla na baada ya tukio la kujeruhiwa. Wengi wanaompinga kwa kisingizio cha ukibaraka wenda wanafanya makusudi, au wanataka kuwaokota watu wasio na ufahamu au ni...
16 Reactions
68 Replies
5K Views
Kwanza nianze kwa kukupa pole, Pamoja na jukumu zito ulilo nalo la Kuhakikisha Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020 ni wa kuaminika na shirikishi kwa Watanzania. Bado wapo Watanzania wachache kwasababu...
-1 Reactions
46 Replies
6K Views
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu...
45 Reactions
176 Replies
13K Views
Tunapokuja kupiga kura tunaingia mkataba wa miaka mitano na tunayempigia Kura. Mwisho wa miaka mitano tutapima aliyisema atafanya na Mapya atakayofanya tena. Kwa nini nawaza hivi. Kuna mbunge wa...
1 Reactions
4 Replies
782 Views
Back
Top Bottom