denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,486
- 68,288
Wanabodi Salaam.
Nimejikuta najiuliza swali ghafla mbona simuoni wala kumsikia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi ambae pia ni mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia chama chake, na zaidi akiwa ni mbunge wa jimbo hilo aliemaliza muda wake.
Najiuliza mbona haonekani hata kwenye kampeni, au ndio ameshaahidiwa ubunge ule wa nafasi kumi za kuteuliwa na Rais? au wakazi wa Vunjo mliopo humu jf mtujuze huyo jamaa anaonekana huko jimboni? au alijitoa?