Uchaguzi 2020 Profesa Lipumba akiwa Ushetu, Shinyanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais niunde serikali ya umoja wa kitaifa

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
IMG_20200929_184931_521.jpg
NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"

USHETU, SHINYANGA.

Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majerahay anayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini.

Tumefikia hapat ulipo kutokana na Tanzania kukosa taasisi imara za kusimamia uendeshajiw ake. Taasisi zilizoko uimara wake ni wa kinadharia kuliko wa uhalisia.

Katika mazimgira haya mustakabali wa nchi umekuwa ukitegemea zaidi haiiba na matakwa ya rais aliyeko madarakani kuliko taratibu za kitaasisi.

CUF inataka nchi iwe na taasisi imara zinazounda mfumo madhubuti ambaou tahakikisha kuwa nchi iko salama bila kujali ni chama gani kiko kwenyen adaraka.

Kuunda mfumo huu kunahitaji nguvu ya pamoja na ushirikishwaji wa kila Mtanzania. Kwa sababu hii CUF inapendekeza serikali ya umoja wa kitaifa.

Serikali hii jumuishi itakuwa na jukumu la kujenga mfumo unaohitajika.

Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya CUF itaweka misingi ya kuhakikisha kuwa taifa linakuwa na Demokrasia ya kweli.

Serikali ya umoja wa kitaifa itakamilisha mchakato wa kupata katiba mpya yenye misingi imara ya demokrasia na utawala bora.

Katiba ambayo pamoja na mambo mengine itatenganisha kikamilifu mamlaka na nguvu za mihimili mbalimbali,italinda misingi ya ushindani wa kisiasa, itapanua na kukuza haki za kiraia, na itahakikisha uwepo wa uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari na fursa yak ujieleza.

Tunahitaji kuwa na katiba nzuri inayompa kila Mtanzania uhuru wa kweli wak uchagua na au kuchaguliwa. Tunahitaji kuwa na Muungano wa Watanganyika na Wazanzibari usio na mashaka ndani yake kwa pande zote mbili.

Tunahitaji Umoja wa Kitaifa wa kweli ambapo ubaguzi wa aina yoyote iwe ni wa jinsia, rangi, dini au ulemavu utakuwa ni jinai inayoadhibiwa kwamujibu wa sheria.

Aidha tunahitaji kuwa na katiba inayojilinda isivunjwe na wanasiasa walioko madarakani kwa ajili ya maslahi yao binafsi na maslahi yam akundi wanayoyashabikia.

Katiba ya sasa haikidhi vigezo vinavyohitajika ili kuchochea maendeleo ya demokrasia nchini mwetu.

Chini ya Sera za HAKI SAWA NA FURAHA KWA WOTE, serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itaandaa utaratibu unaofaa wa kupata Katiba Mpya ya wananchi.
 
Profesa Lipumba hujawahi kuwainspeire watu c upinzan wala chama tawala in short huna convinces power tena cku zinavyozdi kwenda unashuka daraja kutoka ligi kuu mpaka daraja la nne, lambo alikua akidondoka kwny helcopta anafikia kwny milima ww umetika juu mpaka chni inshort ww km wagalatia
 
View attachment 1584724NICHAGUENI OKTOBA 28,NIWE RAIS NIUNDE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA"

USHETU, SHINYANGA.

Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi,
kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha
yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini. Tumefikia hapa
tulipo kutokana na Tanzania kukosa taasisi imara za kusimamia uendeshaji
wake. Taasisi zilizoko uimara wake ni wa kinadharia kuliko wa uhalisia.
Katika mazimgira haya mustakabali wa nchi umekuwa ukitegemea zaidi
haiiba na matakwa ya rais aliyeko madarakani kuliko taratibu za kitaasisi.
CUF inataka nchi iwe na taasisi imara zinazounda mfumo madhubuti ambao
utahakikisha kuwa nchi iko salama bila kujali ni chama gani kiko kwenye
nadaraka.
Kuunda mfumo huu kunahitaji nguvu ya pamoja na ushirikishwaji wa kila
Mtanzania. Kwa sababu hii CUF inapendekeza serikali ya umoja wa kitaifa.
Serikali hii jumuishi itakuwa na jukumu la kujenga mfumo unaohitajika.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa chini ya CUF itaweka misingi ya kuhakikisha
kuwa taifa linakuwa na Demokrasia ya kweli. Serikali ya umoja wa kitaifa
itakamilisha mchakato wa kupata katiba mpya yenye misingi imara ya
demokrasia na utawala bora. Katiba ambayo pamoja na mambo mengine
itatenganisha kikamilifu mamlaka na nguvu za mihimili mbalimbali, italinda
misingi ya ushindani wa kisiasa, itapanua na kukuza haki za kiraia, na
itahakikisha uwepo wa uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari na fursa ya
kujieleza.
Tunahitaji kuwa na katiba nzuri inayompa kila Mtanzania uhuru wa kweli wa
kuchagua na au kuchaguliwa. Tunahitaji kuwa na Muungano wa
Watanganyika na Wazanzibari usio na mashaka ndani yake kwa pande zote
mbili. Tunahitaji Umoja wa Kitaifa wa kweli ambapo ubaguzi wa aina yoyote
iwe ni wa jinsia, rangi, dini au ulemavu utakuwa ni jinai inayoadhibiwa kwamujibu wa sheria. Aidha tunahitaji kuwa na katiba inayojilinda isivunjwe na
wanasiasa walioko madarakani kwa ajili ya maslahi yao binafsi na maslahi ya
makundi wanayoyashabikia.
Katiba ya sasa haikidhi vigezo vinavyohitajika ili kuchochea maendeleo ya
demokrasia nchini mwetu. Chini ya Sera za HAKI SAWA NA FURAHA KWA
WOTE, serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itaandaa utaratibu unaofaa
wa kupata Katiba Mpya ya wananchi.
Hii agenda yake ya miaka yote..
 
Kapumzike mzee siku hizi Hata DW BBC hawakuoji tena mambo ya uchumi
Unajua ni kwa nini? ?
 
Back
Top Bottom