Uchaguzi 2020 Tarime: Tundu Lissu ampiga marufuku Kassim Majaliwa kufanya kampeni, Yadaiwa anavunja maadili ya uchaguzi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amemuonya Kassim Majaliwa kwa kitendo chake cha kufanya kampeni za Urais kote anakopita , kwa vile kitendo hicho ni kukiuka maadili ya uchaguzi .

Kwa mujibu wa Lissu, Waziri Mkuu Kikatiba hatakiwi kumpiga kampeni mgombea Urais wa chama chake nje ya jimbo lake la uchaguzi ambalo ni Ruangwa tu na ameonya kwamba NEC isipochukua hatua kwenye hili basi itajisimika rasmi kuwa TUMECCM .

Je, Wanasheria mliopo hapa JF hili jambo limekaaje?

Kwa kuwa ccm ni wavunjaji wa sheria wazoefu najua hawatatii na kimajaliwa kitaendelea kufanya kampeni za Urais, Cha kufanya na sisi ni kumchukua Mchungaji msigwa au Lema nao wapite mtaa kwa mtaa wakimpigia kampeni Tundu Lissu, halafu tusikie fyoko fyoko mnavunja sheria za uchaguzi
 
Hakuna kiingereza cha "Lissu The Greatest", ni "Lissu The Great", ukiandika Lissu The Greatest lazima umalizie na sifa yake yoyote. Mfano ungeandika: "Lissu The Greatest Politician". Au "Lissu The Greatest Lawyer"
Kila siku mnakandia watu kiingereza kumbe na nyie Grammar ni ZERO.
Sitafuta andiko hilo , ninajua kuliko " people used to die in the lake "
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Haja haha ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura rais popote Tanzania.
Ni wakati gani anakuwa PM na wakati gani anakuwa mjumbe wa kamati kuu ?
 
Sheria haiduhusu mtu yeyote nje ya msafara wa Mgombea Urais na mwenza wake kuzinguka kufanya kampeni nje ya eneo lake.

Majaliwa anaruhusiwa kuwa kwenye msafara wa mgombea Urais na si vinginevyo.

Nothing less nothing more
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
 
Ndio ukweli wenyewe wakumfanyia kampeni Rais ni mgombea mwenza mama Samia Suluhu

CCM na Magufuli yake Hawajui Wana deal na mtu ambaye yuko above their level!
Kassim Majaliwa alikuwa Mbunge kwene Bunge lilopita na aliteuliwa kuwa PM. Baada ya Bunge la JMT kuvunjwa Majaliwa is NO LONGER A Prime Minister.

CCM, Tume na Msajili wanalijua hili ndo maana mara nyingi kwenye mikutano yake wanamwita MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM na siyo kama Waziri Mkuu....lakini ukimskili bado anatoa maelekezo kama PM, hapo ndipo anapokiuka sheria ya Uchaguzi!
 
Otherwise Kama anatumia mwamvuli wa uwaziri mkuu. Ila Kama anatumia mwamvuli wa kada na mjumbe wa kamati kuu ya ccm Sheria Wala maadili ya tume hayambani hata kidogo. Endapo anajiamini Hana haja ya kampeni Jimboni kwake Basi habanwi kumwombea kura magufuli popote Tanzania.
Lisu ni mwanasheria wa kwenye magazeti tu na mitandaoni ila hakuna kitu aliwahi kuongea kikaleta maana.
 
Back
Top Bottom