Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa katiba ya nchi na kwa mujibu wa sheria za uchaguzi, Tume ya Taifa ya uchaguzi ndiyo yenye mamlaka na dhamana ya kuendesha na kusimamia chaguzi za wabunge na rais nchini. Katika...
32 Reactions
73 Replies
7K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, anatarajia kuongea na wananchi wa Kigoma mjini hii leo Oktoba 01, 2020. Rais Maganja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo Rais Magufuli amefika Vwawa mkoani Songwe katika mkutano wa kampeni, pamoja na mambo mengine Rais Magufuli aliongelea Songwe kama sehemu ya mwisho kupewa hadhi ya mkoa hivyo ataujali kama...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi. Lakini wakati hayo yanafanyika...
22 Reactions
62 Replies
6K Views
"Acheni kutuletea matatizo bure. Kitambulisho hakina jina, hakina picha, hakina alama yeyote ya kumtafuta mtu, lifespan ni mwaka mmoja, unapewa tu bora uwe na 20,000, hakuna sehemu yeyote ya...
19 Reactions
44 Replies
4K Views
Mgombea urais wa JMT ndugu John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kufanya mkutano wa kampeni hapa Tunduma. Pamoja na mambo mengine yanatatajiwa kutoka maneno makali yasiyo ya kawaida kabisa...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litaanza kuchukua hatua kwa wagombea wote ambao hawafuati ratiba ya kampeni iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi jambo ambalo ni kosa kulingana na kanuni...
2 Reactions
9 Replies
924 Views
Haya ni mahaba kutoka uvungu wa moyo. Wananchi wa Mara wakipiga deki ili msafara wa Lowassa upite katika Barabara hiyo... Hawakawii kusema hapa ni Senegal
14 Reactions
191 Replies
26K Views
Habari wanajf, kuna suala ambalo sio la kawaida limejitokeza siku ya leo pasipo kutegemea. Na kama ilivyo kawaida kwa kamanda mimi huwa sifumbi wala sifichi matatizo, nayamwaga ili kuwepo...
17 Reactions
159 Replies
19K Views
Naweza kusema Uchaguzi huu wa mwaka huu , pressure ni kubwa Sana Navifananisha vyama hivi vikubwa viwili Chadema na CCM , vyama vyenye Ushindani mkubwa Sana kwa Sasa, ni kama ushindani uliopo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumetangaziwa kwamba Tundu Lissu ameitwa kujieleza kwa nini anasema wataingia barabarani. Suala hili linachiambuliwa kisheria namna hii. Katiba yetu inasema katika ugombea urais Tume...
56 Reactions
74 Replies
10K Views
Hii ni countdown maalumu kuelekea siku ya Uchaguzi mkuu Tarehe 28.10.2020. Shamrashamra ni nyingi na kampeni zimeshika kasi maeneo mbalimbali ya nchi.Visa na vimbwaga havikosekani pia. Ni...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Lengo kuu la Lowassa, Sumaye, na bidhaa mbalimbali zilizonunuliwa kutoka upinzani ni kuhakikisha kwamba upinzani unakufa na panakuwa hakuna upinzani wowote uchaguzi wa mwaka 2020. Dalili za...
11 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila anapopita, Magufuli anawatisha Wananchi kuwa wakichagua upinzani hatawaletea maendeleo. Anayasema haya akijiamini kabisa utadhani ameshashinda uchaguzi. Endapo ngekewa itakuwa kwake...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimejitahidi kufuatilia kwa ukaribu wiki mbili hizi namna vyombo Vya habari: Redio, TVs, Magazeti na hizi Blogs, na nimegundua kuwa zinatoa habari kwa kuzipa uzito zaidi habari za mgombea urais...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Akihojiwa na redio station mh.Lissu anasema ameshangaa sana maneno aliyoyasema leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari. Anasema Dr.Slaa alikwisha kuteuliwa kuwa mgombea urais mwezi January...
47 Reactions
1K Replies
140K Views
Mimi ni mpenzi wa CCM sio mwanachama! Siungi mkono utaratibu wa uendeshaji wa siasa za CCM kwa muda wa miaka minne hivi. CCM imekuwa na siasa za ajabu sana, imeshindwa kutengeneza vijana wafia...
14 Reactions
17 Replies
2K Views
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea Mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa...
26 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom