Uchaguzi 2020 Wanakalenga tumempata Mbunge wetu makini, ni wakati wa Kalenga kung'ara

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
542
733
Jimbo la Kalenga hakika limempata mkombozi, Jackson Kiswaga ni moja kati ya watu makini mno kuwahi tokea hapa jimboni kwetu, huyu ndugu Kiswaga alianza kushiriki moja kwa moja kwenye shughuli za maendeleo miaka mingi iliyopita, huyu kwetu wana Kalenga ndiye mzalendo wa kweli na hakuwahi kuisahau kalenga hata mara moja licha ya majukumu yake makubwa aliyokuwa nayo wakati huo tena akiwa mikoa ya mbali ila hakuiacha Kalenga. Aliwahi kuwa meneja wa kanda kwenye makampuni ya simu Tigo na Vodacom.

Kiukweli amejitoa sana kusaidia wananchi wa kalenga kama vile kusomesha watoto wasiojiweza na kuchangia miradi ya maendeleo jimboni, wana kalenga tumpeleke huyu KISWAGA bungeni akatung'arishie jimbo letu baada ya kuwa pweke kwa muda mrefu.

FB_IMG_16007170169620422.jpeg
 
Wewe ni chizi kwelikweli, hilo jimbo halijawahi kwenda upinzani tokea Uhuru liko ccm sasa kama bado liko nyuma kiasi hicho unategemea kutatokea miujiza mtu kutoka ccm aibadilishe Kalenga? Sisi wenye timamu tutamchagua wa Chadema hatudanganyiki tens.
Wewe karai hivi unajua wasifu wa huyu bwana Kiswaga? Je unafahamu namna alivyokuwa akijitoa hata hapo kabla? Wewe mfuasi wa chama cha mbowe hivi Leo hii pale iringa mjini ikitokea chama chako wakaweka mbunge mwingine tofauti na msigwa ataongoza na kutenda sawa kama msigwa?

Acha kuwa na akili mgando mambo yanabadilika hata kwa Jpm mlisema hivyohivyo kuwa tatizo mfumo hakuna jipya atakalolifanya licha ya wasifu wake, je ni kweli kashindwa kuyafanya aliyoahidi 2015? Acha kukariri ewe karai mpinga maendeleo,

Jackson kiswaga ndie tumaini la wanakalenga, nakuhakikishia kalenga itang'ara...
 
Huu ndiyo ujinga wetu watz wengi, mbunge anakusanya kodi? kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi kuleta maendeleo ni jukumu la serikali ndiyo maana kwenye jimbo lenu kuna Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa council.
 
Mkuu hakikisha kura yako haipotei, mpigie kiswaga.

Yaani hiyo mlambalasi,nyamihuu,kidamali,mkombe,magubike,nzihi,malangali na kalenga yote tunaenda kung'ara
Safi sana mkuu.maeneo ya kikongoma,idodi tuteleze mpaka mlambalasi
 
Huu ndiyo ujinga wetu watz wengi, mbunge anakusanya kodi? kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi kuleta maendeleo ni jukumu la serikali ndiyo maana kwenye jimbo lenu kuna Mbunge, DC, DAS, DED na Mwenyekiti wa council.
Sijakuelewa kwahiyo unamaanisha hakuna haja ya kuwa na wabunge? Je unafahamu kuwa kila uliyemtaja hapo ana majukumu yake ya kiutendaji tofauti na mwingine? Je unafahamu majukumu ya mbunge?

Pia nikukumbushe kuwa ni rahisi kufikia malengo ukiwa na mbunge wa ccm tofauti tofauti kabisa na ukichagua mbunge wa upinzani, mbunge wa ccm akitaka jambo lake lifanikiwe ni rahisi zaidi kwani hao wote watasimama pamoja na mbunge tofauti akiwepo mpinzani ambaye hata akifanyiwa mema vipi yeye atapinga tu,

Yaani atapinga kuanzia bajeti serikali hadi maendeleo ya jimboni kwake, sasa kwanini uchague mtu asiye na connection? Jamani tuwe wepesi wa kuelewa mambo
 
Mimi siyo boya kama wewe mkuu, Singida, Dodoma, Pwani, Simiyu, Geita, Katavi, Kigoma, Tabora, Shinyanga, Rukwa, Lindi, Mtwara, Njombe, Songwe na Tanga ni CCM tupu toka 1961, sasa si wangekuwa na maendeleo ya kuigwa badala kuwa nyumba za tembe mpk leo.
 
Naomba nikukumbushe hii ni awamu ya tano ndugu, kusoma hujui hata picha huoni....tukusaidieje sasa!
Mimi siyo boya kama wewe mkuu, Singida, Dodoma, Pwani, Simiyu, Geita, Katavi, Kigoma, Tabora, Shinyanga, Rukwa, Lindi, Mtwara, Njombe, Songwe na Tanga ni CCM tupu toka 1961, sasa si wangekuwa na maendeleo ya kuigwa badala kuwa nyumba za tembe mpk leo.
 
The same question to you, is anything good come from opposition?
... nikupe kanuni moja rahisi sana! Iko hivi, ukitaka kujua ni lugha ipi unayoimudu kanuni yake ni hii "... ndoto zako unaota kwa lugha gani?" Andika kwa lugha unayoimudu!
 
Wewe karai hivi unajua wasifu wa huyu bwana Kiswaga? Je unafahamu namna alivyokuwa akijitoa hata hapo kabla? Wewe mfuasi wa chama cha mbowe hivi Leo hii pale iringa mjini ikitokea chama chako wakaweka mbunge mwingine tofauti na msigwa ataongoza na kutenda sawa kama msigwa?

Acha kuwa na akili mgando mambo yanabadilika hata kwa Jpm mlisema hivyohivyo kuwa tatizo mfumo hakuna jipya atakalolifanya licha ya wasifu wake, je ni kweli kashindwa kuyafanya aliyoahidi 2015? Acha kukariri ewe karai mpinga maendeleo,

Jackson kiswaga ndie tumaini la wanakalenga, nakuhakikishia kalenga itang'ara...
Umesema tuchague chadema....
 
Kati ya watu wenye low Understanding capacity ni wewe. Mfumo wa ccm magufuli haujamuacha salama na badala yake ulimuona kuwa msafi kwa miaka yote mitano kwa sababu hakuruhusu upande wa pili unaomumulika kuongea but madudu ya ccm yako palepale. Kufanya manunuzi ya kifisadi, kujimilikisha Mali za umma, teuzi za kubebana, kuwabeba mafisadi papa,nk ndo Tania ya kila mwanaccm na hili limetokea kwa Magufuli pia. Siku yoyote ukitaka kupimwa uwezo wako kiutendaji, kiuongozi, nk..ruhusu upande wa pili kukutolea evaluation.
 
Back
Top Bottom