Rais alijinasibu kuwa ni mtetezi wa wanyonge mwaka 2015.
Je, hadi Mwaka 2020, wanyonge wangapi wameinuka na kuwa na nguvu za kiuchumi?
Je, Tanzania inastahili kuwa nchi ya wanyonge? Mbona...
Kutoka afisi kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar ndugu katibu mwenezi wa CCM, Humphrey Polepole anaongea na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa kampeni za wagombea kuanzia ngazi ya Urais mpaka...
UFUNGUZI WA BARABARA YA JUU YA UBUNGO INTERCHANGE KUTOKA MWENGE HADI BUGURUNI NI USHINDI MWINGINE KWENYE VITA HII YA KIUCHUMI.
Na Bwanku M Bwanku
Jumatano ya Septemba 30 mwaka huu, Serikali...
Mara nyingi mgombea huyu amekuwa akitishia watu kuwa wasipomchagua mgombea anayemtaka yeye mara atawanyima maji , mara atawanyima barabara,na mambo mengine mengi.
Mgombea huyu atambue kwa...
Nimemsikiliza kwa makini H Polepole, amelalamika sana juu ya wanaCcm kufanyiwa ukatili na unyama. Mmoja ameuwawa Songwe na mwingine Mkoani Njombe. Kwa nchi tuliozoea kuishi kwa amani hii sio jambo...
Bwana Ado Shaibu amepata ajali huko Tunduru muda mfupi uliopita. Yupo salama na amekimbizwa hospitali
Chanzo
Facebook account ya gazeti la habari leo
===...
Habarini wakuu,
Karibuni tutete kidogo hapa,
Nina hili swali moja tu wadau wenzangu na swali lenyewe ni hili hapa.
Kwanini waliosomea sheria huzivunja sheria?Na kwanini waliosomea sheria...
Ujue kupanga ni kuchagua,
Baadhi ya wenzenu hapahapa afrika mashariki walishachagua kupita njia ya Misri Algeria na Tunisia. Na wengine ni ya Sudani, Libya na Zimbabwe.
Nilitaka kujua pengine...
Kama kuna Jimbo ambalo endapo CHADEMA na Mgombea wao Halima Mdee 'watazichanga' Karata zao vizuri sana basi 'watashinda' mapema tu kutokana na 'Mgawanyiko' mkubwa uliopo basi ni la Kawe. Wale wana...
Ni dhahiri hawa wazungu sasa wanaonyesha sura zao kamili kwa matamko yanayoendelea
Wanatishia wapo makini kwa jicho kubwa kuwa kuna ukandamizaji wa haki za binadamu na uhuru Tanzania wakilenga...
BUSEGA- SIMIYU
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia...
Ama kwa hakika awamu ya 3 ya Lissu itakuwa kufuru kubwa Sana. Umaarufu wake utaongezeka Mara 10. Kila kizazi kitatamani kumuona akimwaga Sera na kuichana vibaya hii serikali ya CCM. My betting Ni...
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Oktoba amewambia wakazi wa Mkarama,Iguguna mkoani Singida kuwa wasijaribu kuharibu nguvu zao...
Matendo yanayofanywa na Taasisi za serikali, hasa NEC na Polisi, yanamuongezea Mh. Tundu Lissu mgombea Uraisi kupitia CHADEMA Umaarufu wa kisiasa.
Wananchi na Raia wengi kwa ujumla wanafuatilia...
*HUKUMU YA TUME DHIDI YA TUNDU LISSU*
Ukisoma taarifa ya Tume kuhusu Kumsimamisha Tundu Lissu kufanya kampeni SIKU SABA (7) na ukitafakari kwa kina kuhusu Mwenendo na Kanuni za Utoaji Haki...
Toka Zitto aseme kuwa 3/10/2020 watakuwa na mkutano wa pamoja kati ya Chadema na Act katika viwaja vya mwembe yanga,naona kama tume ,Msajili na Polisi wote wanajaribu kuzuia tundu Lissu asiongee...
WANANCHI WA BARIADI MMEKOPWA PAMBA NA HAMJALIPWA PESA ZENU HADI LEO HII SIO HAKI.NIPENI KURA OKTOBA 28, NIWE RAIS NITATUE TATIZO HILI "PRO.LIPUMBA"
BARIADI- SIMIYU
Mgombea Urais wa Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.