Samia Suluhu: Hamna haja ya kupoteza nguvu zenu kupigia kura upande mwingine

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Oktoba amewambia wakazi wa Mkarama,Iguguna mkoani Singida kuwa wasijaribu kuharibu nguvu zao bure kwa kuwapigia wagombea wa upinzani kwa sababu CCM itashinda na kusalia madarakani.

Samia amesisitiza juu ya kauli ambayo imekuwa ikitumiwa na mgombea Urais kupitia chama chake Dkt. John Magufuli kuwa maendeleo hayana chama na kuwataka wananchi wa eneo hilo bila kujali vyama vyao wawachague wagombea wa CCM ili luendeleza safari ya maendeleo ambayo imekuwa ikisimamiwa na chama hicho.

''Sasa ndugu zangu hamna haja ya kupoteza nguvu zenu kipiga kura upande mwingine wowote ule, ni sawa na kwamba unachukua fedha yako unatia shimoni haina faida haina tija niwaombe wana Mkarama wote wa vyama vyote kura yako ndiyo maendeleo yako, piga kura kwa Chama cha Mapinduzi ili twende na safari yetu ya maendeleo” amesema Mama Samia.

Aidha Suluhu amewataka wapiga kura hao kuwa makini na wagombea wa vyama vingine ambao wanakuja na kuomba ridhaa ya kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, ambapo amekitaja chama chake kuwa ndicho kinastahili kupewa dhamana hiyo kwa sasa.

''Watakuja wengine hapa labda wabunge, waje wasimame wakuambieni nitafanya nitafanya swali la kuuliza ni moja tu atafanya kwa serikali gani, kwa sababu serikali bado itabaki ya Chama cha Mapinduzi, yeye atakaye kuja kufanya atafanya kwa serikali gani na kama ni mipango lazima afuate Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi'', amesema Mama Samia.
 
Tumepoteza nguvu kupigia FISIEM kwa miaka 60 ya uhuru. Afu walicho fanya ni haya
IMG_20200930_004637.jpg
IMG_20200930_010407.jpg
IMG_20200925_113059.jpg
IMG_20200925_113051.jpg
IMG_20200921_234857.jpg
IMG_20200818_191613.jpg
 
Huyu mkojani naye anajiona wa maana mpk ameanza kutoa maneno ya nyodo kama haya.

Kumbe amewekwa tu kama bosheni ili kuhalalisha Zanzibar kuendelea kuwa koloni la Tanganyika.

Hawezi power yoyote huyu mama, hata ya kumbadilisha mkuu wa wilaya.
 
Hizo picha watasema sio Tanzania hii! Kweli ujinga haujifichi watu watembelee gari ya millioni 100+ watoto wanakaa chini huko..
 
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Oktoba amewambia wakazi wa Mkarama,Iguguna mkoani Singida kuwa wasijaribu kuharibu nguvu zao bure kwa kuwapigia wagombea wa upinzani kwa sababu CCM itashinda na kusalia madarakani.

Samia amesisitiza juu ya kauli ambayo imekuwa ikitumiwa na mgombea Urais kupitia chama chake Dkt. John Magufuli kuwa maendeleo hayana chama na kuwataka wananchi wa eneo hilo bila kujali vyama vyao wawachague wagombea wa CCM ili luendeleza safari ya maendeleo ambayo imekuwa ikisimamiwa na chama hicho.

''Sasa ndugu zangu hamna haja ya kupoteza nguvu zenu kipiga kura upande mwingine wowote ule, ni sawa na kwamba unachukua fedha yako unatia shimoni haina faida haina tija niwaombe wana Mkarama wote wa vyama vyote kura yako ndiyo maendeleo yako, piga kura kwa Chama cha Mapinduzi ili twende na safari yetu ya maendeleo” amesema Mama Samia.

Aidha Suluhu amewataka wapiga kura hao kuwa makini na wagombea wa vyama vingine ambao wanakuja na kuomba ridhaa ya kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, ambapo amekitaja chama chake kuwa ndicho kinastahili kupewa dhamana hiyo kwa sasa.

''Watakuja wengine hapa labda wabunge, waje wasimame wakuambieni nitafanya nitafanya swali la kuuliza ni moja tu atafanya kwa serikali gani, kwa sababu serikali bado itabaki ya Chama cha Mapinduzi, yeye atakaye kuja kufanya atafanya kwa serikali gani na kama ni mipango lazima afuate Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi'', amesema Mama Samia.
Asitupangie
 
Wananchi wangemuuliza pia, yeye mama Samia anafanya kazi gani kama makamu wa rais?
Sote tunajua yule mama yupo pale kama kivuli tu, hana mamlaka yoyote wala umuhimu wote mbele ya jiwe, anakokotwa tu.

Bora hata mama Janeth yupo kumliwaza mzee.
 
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 2 Oktoba amewambia wakazi wa Mkarama,Iguguna mkoani Singida kuwa wasijaribu kuharibu nguvu zao bure kwa kuwapigia wagombea wa upinzani kwa sababu CCM itashinda na kusalia madarakani.

Samia amesisitiza juu ya kauli ambayo imekuwa ikitumiwa na mgombea Urais kupitia chama chake Dkt. John Magufuli kuwa maendeleo hayana chama na kuwataka wananchi wa eneo hilo bila kujali vyama vyao wawachague wagombea wa CCM ili luendeleza safari ya maendeleo ambayo imekuwa ikisimamiwa na chama hicho.

''Sasa ndugu zangu hamna haja ya kupoteza nguvu zenu kipiga kura upande mwingine wowote ule, ni sawa na kwamba unachukua fedha yako unatia shimoni haina faida haina tija niwaombe wana Mkarama wote wa vyama vyote kura yako ndiyo maendeleo yako, piga kura kwa Chama cha Mapinduzi ili twende na safari yetu ya maendeleo” amesema Mama Samia.

Aidha Suluhu amewataka wapiga kura hao kuwa makini na wagombea wa vyama vingine ambao wanakuja na kuomba ridhaa ya kuwaongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, ambapo amekitaja chama chake kuwa ndicho kinastahili kupewa dhamana hiyo kwa sasa.

''Watakuja wengine hapa labda wabunge, waje wasimame wakuambieni nitafanya nitafanya swali la kuuliza ni moja tu atafanya kwa serikali gani, kwa sababu serikali bado itabaki ya Chama cha Mapinduzi, yeye atakaye kuja kufanya atafanya kwa serikali gani na kama ni mipango lazima afuate Ilani yetu ya Chama cha Mapinduzi'', amesema Mama Samia.
Mawazo na vitisho vya kijinga ndivyo havitakiwi zama hizi
Afanye kampeni apite hivi na wengine wafanye
 
Awamu hii kura zote kwa Lisu tu, hawa maroho mbaya hawana nafasi wao waendelee na siasa zao za vitisho tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom