Hivi kwa mtazamo wako hawa polisi kwa mambo haya wanayoyafanya utegemee kesho watende haki kwa vyama viingine?
IGP Siro wakanye polisi wako wasiingize kwenye mitego ya wanasiasa.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha NCCR Mageuzi ndugu Joyce Bitta Sokombi amesema endapo atapata ridhaa ya kuchaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, ataanzisha mfuko...
Nimesikia chama kimoja kinazungumzia nchi kuigawa kwenye majimbo ya kiutawala na uendeshaji. Kwangu mimi kwa nchi ambayo imekuwa kwenye utawala wa mikoa kwa miaka zaidi ya 50 na kwa mfumo wa...
Mambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very...
Nauliza tu kama Tume ya taifa ya uchaguzi imetoa tamko lolote kuhusu wito wa Tume kumtaka Tundu Lisu aripoti Dodoma kujibu tuhuma kadha wa kadha.
Ni muda sasa tangu mkurugenzi wa uchaguzi...
Ndugu watanzania wenzangu, salaam.
Imekuwa kama sehemu ya utamaduni kutokumpa mtu sifa zake njema angali hai bali ni rahisi sana kuona yale mabaya au tusiyoyapenda. Mtu huyohuyo anapokufa ndio...
Tundu Antipas Lissu, amekuwa alisisitiza kuwa Kama watanzania watakuwa na Nia ya kupata katiba mpya, Basi 28/10/2020 atakaye mpigia kura atambue kuwa kura yake itakuwa Ni kura ya katiba mpya...
Historia ni mwalimu mzuri sana. History is good predictor of the future.
Kuna mgombea historia yake ni ya kushindwa tuu. Ushindi wake mara nyingi ni wa kufosi na kutumia nguvu nyingi. Huyu...
Namibia imethibitisha visa 11,373 vya coronaImage caption: Namibia imethibitisha visa 11,373 vya corona. Zaidi ya wanafunzi 300 nchini Namibia wameambukizwa virusi vya corona baada ya shule...
Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi...
Amani ni tunu yetu Watanzania kuipoteza ikatuponyoka tutalia kilio kikuu cha kusaga meno tangu mimba hadi wazee.
Kila mmoja aiombee Tanzania ipite salama kwenye kikaango uchaguzi mkuu. Amani...
Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani.
Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania...
Tuseme ukweli ni aibu kwa chama kilichotawala miaka takribani 60 bado kinakuja na ahadi za umeme, maji, huduma za afya, na barabara.
Yaani miaka 60 serikali ya CCM imeshindwa kupeleka huduma ya...
Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the...
Toka jana wananchi wa Dar foleni imekufa rasmi eneo la Ubungo, baada ya daraja lile la juu linalounganisha njia ya kwenda Buguruni na Mwenge kukamilika. Hizi zote ni juhudi za serikali ya Rais...
Donor countries and organization mnatoa hela za maendeleo, lakin mnayempa hizo hela ameapa atazipeleka kwa watu ambao hawajamchagua, huo ni ubaguzi wa wazi wazi.
Ni vizuri mkaifanyia kazi kauli...
Napendekeza, endapo atashinda JPM basi yale majimbo yatakayokuwa yameangukia upinzani kodi zao wabaki nazo ili wapange mipango yao ya maendeleo. Nadhani hili halitakuwa na ubishi kwa sababu JPM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.