Kinachowatesa CCM ni ushirikiano wa CHADEMA na ACT Wazalendo?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Toka Zitto aseme kuwa 3/10/2020 watakuwa na mkutano wa pamoja kati ya Chadema na Act katika viwaja vya mwembe yanga,naona kama tume ,Msajili na Polisi wote wanajaribu kuzuia tundu Lissu asiongee hapo kesho ?

Kwanini wanaogopa muungano wa wapinzani?
 
Lissu aliwahi kusema kuwa serikali haina shida na Act wala na vyama vyengine vyote kwa sababu hivyo vyote si vyama vya upinzani,kwa maelezo ya Lissu ni kwamba vyama vya upinzani ni chadema na cuf kuu pekee.
 
Toka Zitto aseme kuwa 3/10/2020 watakuwa na mkutano wa pamoja kati ya Chadema na Act katika viwaja vya mwembe yanga,naona kama tume ,Msajili na Polisi wote wanajaribu kuzuia tundu Lissu asiongee hapo kesho ?

Kwanini wanaogopa muungano wa wapinzani?
Vile vile Yohana pumzi imemuishia. Inaelekea hawezi kwenda zaidi ya week bila mapumziko.
 
Back
Top Bottom